Recent content by Zwengendaba

  1. Z

    JamiiForums Tanzania Kabla ya kuagiza mapangaboi vitu vidogo kama hivi vingeshughulikiwa

    Mtu anajitahidi kuweka nchi kwenye ramani nyinyi mnaleta habari za kuturudisha tulikotoka. Sasa tunafufua shirika la ndege hamtaki, jamani tunaanza safari ya kwenda Dodoma ooh asubili hajaandaa mazingira, tunafufua na kujenga viwanda kukuza ajira ooh amekurupuka angesubili kwanza, tunaboresha...
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Watumishi waliosoma vyuo vikuu bila sifa kufukuzwa kazi

    Hanafunua makaburi huyo atashindwa kuyatunza. Ni vizuri nchi ikawa na sera ya kudumu ya elimu. Tutaondoa confusion za wanasiasa kuhusu mwelekei sahii wa elimu nchini. Tunashindwa kumaintain standards kwa sababu ya kukosa sera ya kudumu ya elimu.
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Kanuni 30 kwa wanawake ndani ya ndoa

    1,2,3,7,11,19,30 ndiyo matatizo kwangu sasa narudi kuwa bachelor.
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Wanawake na tabia ya viburi katika ndoa, vyanzo vyake hivi hapa

    Du ujumbe wako umenifikia kipindi muhafaka tena kipindi kigumu sana. Kiburi na jeuri ya mke naona ndoa ipo dakika za majeruhi ntaivunja. Huyu wangu kiburi ni phenomenon yake nimemvumilia kitambo sana. Nimeambiwa kauli zifuatazo : wewe una akili ndogo, mbona unaongea pumba? na mambo yako ya...
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Wakati hatari zaidi kwenye ndoa

    Du upo sahii mkuu. Ninapitia hali hiyo na nipo kwenye hatua hiyo ya mwisho. Hali tete kabisa.
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Kero: Nataka nimzabe kibao huyu binti sababu ananishawishi

    Kachape fimbo tu mkuu ili kakuogope maana hamna namna nyingine.
Back
Top Bottom