Kwahyo sasa hv mayahudi wameacha kusubiri au bado wanaendelea??? Na hao waKristo walikuaje waKristo km bado waliendelea kusubiri hata baada ya Kristo kuja na wao kumpokea ??? Hv unasoma unavyoandika au unajiandikia tu sababu una muda wa kuandika???
Na wahuni nao wana namna yao ya kudeal na wanajeshi km Muna na wewe. Acheni kutia petrol kwenye moto. Siku zote polisi ndo mgomvi wa raia na mtetezi ni mwanajeshi naona mmeamua kugombana na raia sijui nidhamu ya wapi? Ushamba, kukosa maadili na shule ndogo inasumbua wengi wenu.
Sent from my...
Mpige makofi ule bisibisi ya moyo ukapigiwe saluti na mizoga huko makaburini. Maisha hayana ubabe hekima na nidhamu binafsi ni Heri kuliko. Haya kafaidika nn na mibao yake??? Mvuta bangi always maisha yake ni km mfu kila siku bora ya jana haya huyo kaacha cheo, mke, familia, mshahara mzuri na...
We jamaa unaonekana mshamba, mjinga halaf huna self discipline,. Endeleeni na ubabe Wa kifala kila mtu amuheshimu mwenzie nchi sio yenu tu. Raia wakichoka tutayasikia mengi na ushamba wenu. Kataa kubali hasara ni kwa huyo aliyekufa huyo boda anaishi km kafa hana cha kupoteza haya afande...
Sasa msikitini kuna nn cha kujisevia??? Hujui kuna makanisa wanatunza vyombo vya gharama vya kusevia madhabahu? Au Umewahi kusikia msikitini kumevunjwa na kuibiwa km ilivyo makanisani?? Je ukiacha watu walale kiholela unaziaminije nia na dhamira zao???
Hakuna mkristo asiyeamini YESU ni MUNGU. Narudia tena HAKUNA.... anayeamini hvyo si mkristo na wala hajui fumbo la utatu mtakatifu yani Mungu baba, Mungu mwana na Mungu roho mtakatifu. Period
Juha wewe unaropoka hapa bila ushahidi. Na hata ukipata utakazana kubisha tu ili uonekane wa maana. Mjinga ni ww na hao ndugu zako ktk imani wanaomtajirisha mwampopo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.