Recent content by Zura

  1. Zura

    JamiiForums Tanzania Mume anataka kumuacha mke kisa kumpeleka mtoto shule na ex wake

    Hakuna chochote ni umalaya wake unamsumbua, Ndio maana ata uyo x wake alimuacha aliona kabisa sio wife material
  2. Zura

    JamiiForums Tanzania Mume anataka kumuacha mke kisa kumpeleka mtoto shule na ex wake

    Hakuna chochote ni umalaya wake unamsumbua, Ndio maana ata uyo x wake alimuacha aliona kabisa sio wife material
  3. Zura

    JamiiForums Tanzania Mume anataka kumuacha mke kisa kumpeleka mtoto shule na ex wake

    Iyo haki ya mtoto unaijua wewe sasa, alivyo kuacha na kwenda kuowa mwanamke mwingine yeye hakujua iyo haki?? Hakika umechezea shilingi katka tundu la choo, Utamkumbuka mumeo,
  4. Zura

  5. Zura

    JamiiForums Tanzania Mume anataka kumuacha mke kisa kumpeleka mtoto shule na ex wake

    Hapa umemaliza kila kitu, Sijui wanawake tukoje jamani, daah!!!
  6. Zura

    JamiiForums Tanzania Full Time: Tanzania 0- 2 DR Congo | Qualification AFCON 2025 | Benjamin Mkapa Stadium | 15 Oktoba, 2024

    Hamia Congo sasa Tz unasubir nini,
  7. Zura

    JamiiForums Tanzania Mnauhakika Wachezaji Stars wanaitaka AFCON?

    Nadhani jibu umelipata mkuu
  8. Zura

    JamiiForums Tanzania Swali kwa Malegendary, hivi unapotaka kuoa mke wa pili, mke mkubwa unamuweka sawa vipi?

    Mke wa pili kwenye rahaa tu! Kwenye shidaa Aaaah! Wakina bmkubwa tukae kwa kutulia tumeambiwa shidaa Raha zinawenywewe
  9. Zura

    JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa wawakilishi wa viwanda mbalimbali toka China kualikwa sabasaba 2025

    Wazo zuri lakini na sisi Watanzania tusumbue akili katika ubunifu Ili tupunguze kuagiza chinaa na wao au mataifa mengine yaje kwetu kununua na kuagiza
  10. Zura

    JamiiForums Tanzania TFF wasaidieni Yanga Afrika huko FIFA kama halikuwa goli kwanini refa hakuwapa Yanga kona wakati mpira ulitolewa nje kwa kichwa na beki wao?

    Wewe ni Simba nakuona tu unacomment thread za Yanga. Thread za simba huendi, Alafu comment yako swali ni Moja tu [emoji1787] poleee kolooo
  11. Zura

    JamiiForums Tanzania Furaha ya Nchi hii imeshikiliwa na Mpira. Leo nchi haina furaha baada ya kufanyiwa uonezi Timu ya Wananchi

    Mmhh!! Hili swali mbana unaliuliza Sanaa?? Naona unateseka na jinsi Yanga walivyo cheza
  12. Zura

    JamiiForums Tanzania FT: Simba SC 2-0 Mashujaa FC | NBC Premier League | Azam Complex | 15.03.2024

    Wanasubiri wafunge ndio waje
  13. Zura

    JamiiForums Tanzania FT: Al Ahly 1-0 Young Africans | CAF CL | Cairo International Stadium | 01.03.2024

    Ndio kazi Yao hao
  14. Zura

    JamiiForums Tanzania FT: Simba SC 1-5 Young African SC | NBC Premier League| Benjamin Mkapa Stadium | 05.11.2023

    Bado hamjasema mpaka msemee [emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169]
  15. Zura

    JamiiForums Tanzania FT: Yanga S.C 2-0 As Real Bamako | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium | 08.03.2023

    [emoji16][emoji16][emoji16] makolooo mpooo???
Back
Top Bottom