Share.......
HEWA CHAFU KUTOKA UKENI
hili ni tatizo linalowakumba WANAWAKE wengi sana tena sanaa na wanashindwa wafanye nn kulitatua na pia wengi wao hawajuwi ni kitu ganikinasababisha hali hiyo.
Na tatizo hili zaidi hutokea mnapokuwa mnafanya mapenzi hasa ile style maarufu mbuzi kagoma...
Kazi nzuri kwa jeshi la polis
Ila swala lakutaja jina la informer ni hatari kwake
Pili - kama mmejuaje kama ndo jambazi aliye mpiga risas meja mstaaf JWTZ
Tatu - kama mmefanikiwa kuwapata hao
Mtusaidie bas na walio mteka Ben Saa 8
Maana huyu mwingine mmetuzuia tusimzungumzie
Sent from my...
Nyumba ipo Chanika Buyuni
Ina vyumba vitatu master moja yenye jakuza
Vyumba vyote ni self container
Stoo
Choo kimoja public
Dyning kubwa
Sebure kubwa
Get na parking ya gar
Kwa mawasiliano zaid
Whatsap no.0711520308
Unaujua wimbo we're the world? Kina Michael Jackson waliimba kuichangia Ethiopia iliyokuwa inachanwachanwa na kusambaratishwa na njaa na ukame watu walikufa pamoja na mifugo hiyo ilitokea mwaka 1984 baada ya mpiga picha maarufu duniani Mohammed 'Mo' Amin pamoja na Michael Buerks kupiga picha za...
Wakuu habari
Leo ndiyo nimepata kujua huyu kijana wa Azania ndugu Humphrey Polepole anatumiwa na ccm chini wa mwanvuli wa katiba kuupinga upinzani usiingie madarakani....Leo nimepata kufuatilia kipindi cha television flan chaTz chenye mada inayo husu yanayo jili sasa kuelekea uchaguzi...
MUHIMU.................................jaman hili la kuhakiki majina ni muhimu sana kuliko tunavofikiri maana nilikuwa ofisi cha chama chetu hapa singida mjini ukweli nimefarijika sana na jinsi walivojipanga.
kuna kata ya utemini ambayo waliojiandikisha ni 5267 ila majina yaliyoko kwenye kitabu...
MUHIMU.................................jaman hili la kuhakiki majina ni muhimu sana kuliko tunavofikiri maana nilikuwa ofisi cha chama chetu hapa singida mjini ukweli nimefarijika sana na jinsi walivojipanga.
kuna kata ya utemini ambayo waliojiandikisha ni 5267 ila majina yaliyoko kwenye kitabu...
- Je, wakati fedha za Mkonge kupitia mfanyabiashara aitwaye CHAVDA zinaibiwa Lowassa alikuwa waziri mkuu? Alikuwa malecela!.
- Madini ya dhahabu yaliyokamatwa uwanja wa ndege wakati wa Rais Mwinyi yalikuwa ni madini ya Lowassa?
- Wakati Akasha wa dawa za kulevya anakamatwa na kutoroshwa...
Watu wengi utawasikia mimi kura yangu nitampa Mbunge wa upinzani, lakini Urais nitampa wa Magufuli. Ukiwauliza kwanini watakwambia Aaaah tunataka kuwe na wabunge wengi wa upinzani, ili CCM wasiweze kupitisha mambo kirahisi na kusiwe na habari ya 'ndiooo' naunga mkono asilimia mia moja'.
Wapo...
Mwaka 2010 CCM Mkoa wa Mbeya walifanya Makosa Kwenye Nafasi ya Mgombea Ubunge Mbeya Mjini hatima yake Bw Joseph Mbilinyi SUGU akawapiga kwa Ticket ya Chadema, Mwaka huo huo Jimbo la Iringa Mjini CCM walifanya Makosa wakamkata Frediriki Mwakalebela kipenzi cha watu Wakamweka Monica Mbega hasira...
Tunapo waambia Ccm jambo waache ubishi wao wakijinga Tena wakome kabisaa.
Tuliwaambia huenda zoezi hili la bvr lisikamilike kulingana na ratiba wakabisha Waziri mkuu akabisha jensta Muhagama akabisha mama makinda nae akabisha
Sasa Leo lubuva kasema leo wamesha andikisha nusu tu ya watanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.