Recent content by Zumba Mlyamponzo

  1. Zumba Mlyamponzo

    Utajiri wa komediani maarufu Bongo, Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji’

    Safi sana ni kijana ambaye ni mfano wa kuigwa, najua atakuwa amewaajiri watu wengi sana hasa vijana wenzake na kama ningepata nafasi kumshauri ningemwambia aendelee na kujitunza vema ili Mungu aendelee kumpa u hekima na busara lakini uwezo huo wa kuajiri vijana wenzake ambao kwao wuala ajira...
  2. Zumba Mlyamponzo

    Top 10: Majina ya kipekee zaidi kutoka Tanzania

    Msiwasahau kina Selukuma.
  3. Zumba Mlyamponzo

    Top 10: Majina ya kipekee zaidi kutoka Tanzania

    Ndiiye Siiye, binti wa kimasai alikimbia kuolewa kwa lazima nakumbuka nililuwa naye kambi ya umitashumta 1996 na baadaye akajiunga nashule ya wasichana ya korogwe-tanga.
  4. Zumba Mlyamponzo

    Taarifa za mikopo midogo midogo ya kibiashara!

    Kuna kampuni inajiita Hisa Tanzania, ni kweli ipo kampuni ya namna hii?
Back
Top Bottom