Recent content by zulfa rwanda

  1. Z

    Biashara gani naweza kufanya nyongeza kwenye stationery yangu

    Habari, Naomba msaada jamani nina stationery lakin katika kipindi hiki cha umeme kata rudi napitia wakati mgumu sana.. Naomba usbauri wenu jamani naweza kuongeza biashara gani isiyotumia umeme nikajiongezea kipato? Pia ni sehem ipi online ambapo naweza kujifunza graphic design kwa undani??
  2. Z

    Mafunzo ya computer graphics

    Habari wana JF Naomba kufahamu ni wapi naweza pata mafunzo ya computer graphics online au phisical kwa mkoa wa Morogoro.... Nataka kujifunza muda wa ziada sababu mimi ni mtumishi wa umma... Asante
  3. Z

    Vifaa vya stationery

    Kwaiy nikifika tu mchkichini ndo nawakuta??
  4. Z

    Vifaa vya stationery

    Na copy sasa hv tunatoa sh 100 coz karatas zipo juu
  5. Z

    Vifaa vya stationery

    Sawa asante hao watu nawapataje tafadhali kwasabbu sasa hv nataka kuifany iwe ya jumla na reja reja ni bora nipate wa ndani zaidi
  6. Z

    Vifaa vya stationery

    Habari, Mimi ni Mfanya biashara ya stationary kutoka morogoro naomba kufahamishwa chaka/chimbo la kupata bidhaa kwa bei za viwandani kwa Dar.
Back
Top Bottom