Recent content by zubedayo_mchuzi

  1. zubedayo_mchuzi

    JamiiForums Tanzania ONYO: Ubungo Darajani kuna wezi balaa

    Wale hakuna hata mmoja wa kunigusa,
  2. zubedayo_mchuzi

    JamiiForums Tanzania ONYO: Ubungo Darajani kuna wezi balaa

    Mkuu masaa 3 yangu pale yalikua na kitu nachotafuta,ila kama upo dar kama si wewe basis hata mdogo ataingia mikononi mwao siku moja...yangu taarifa tu
  3. zubedayo_mchuzi

    JamiiForums Tanzania ONYO: Ubungo Darajani kuna wezi balaa

    Habari za siku Mingi ? Leo nilikua pale ubungo darajani stand,maeneo haya ni maeneo yangu ya kujidai kabisa toka 2006 napajua ubungo vizuri na washenzi wote wa pale tena enzi za Hamidu mzawa. Leo naomba nikujulishe wewe mtanzania unaetumia kituo kile ni kwamba kimejaa wasafiri wengi feki,kuna...
  4. zubedayo_mchuzi

    JamiiForums Tanzania Rais mdogo duniani - North Korea

    Umarekanism
  5. zubedayo_mchuzi

    JamiiForums Tanzania Rais mdogo duniani - North Korea

    Hawawezi kumpiga hao,north Korea ni mfumuko wa king jumong tawala iliojiamini katika vita miak kibao.
  6. zubedayo_mchuzi

    JamiiForums Tanzania Rais mdogo duniani - North Korea

    Northern Korea inajivunia kitengeneza kombora linaloweza kurushwa mpk marekani Ukitaka kujua hawa jamaa walianza lini michakato yao fatilia IRIs na Athena Alafu jiulize hawa IRIS ni nani
  7. zubedayo_mchuzi

    JamiiForums Tanzania Rais mdogo duniani - North Korea

    Umarekanism fever
  8. zubedayo_mchuzi

    JamiiForums Tanzania Rais mdogo duniani - North Korea

    Mama yake humuita "the morning Star king"
  9. zubedayo_mchuzi

    JamiiForums Tanzania Aachiwa baada ya kutishia kuua - Keko

    Unafanya nini jf
  10. zubedayo_mchuzi

    JamiiForums Tanzania Aachiwa baada ya kutishia kuua - Keko

    Kashfaaaa
  11. zubedayo_mchuzi

    JamiiForums Tanzania Aachiwa baada ya kutishia kuua - Keko

    Mmiliki wa bar kubwa maarufu mitaa ya keko Roberti Mushi, usiku wa Jumapili mida ya saa sita alimjeruji dereva kijana aitwae Ngotikwe Ramadhani kwa kumpiga na mdomo wa bastola baada ya kuzipiga tatu hewani. Roberti mushi ni mpangaji wa fremu zinazomilikiwa na Chama Cha Mapinduzi akieleza kwa...
  12. zubedayo_mchuzi

    JamiiForums Tanzania Rais mdogo duniani - North Korea

    Unamnyoosha mtu mwenye kufurahia kuunda kombola lenye uwezo wa kutua usa
  13. zubedayo_mchuzi

    JamiiForums Tanzania Rais mdogo duniani - North Korea

    Ha ha ha
  14. zubedayo_mchuzi

    JamiiForums Tanzania Rais mdogo duniani - North Korea

    Itakua umri na technolojia
  15. zubedayo_mchuzi

    JamiiForums Tanzania Rais mdogo duniani - North Korea

    Je unajua rais mdogo duniani ni rais wa North Korea inakadiliwa kuwa alizaliwa kati ya mwaka 1983-1984. Baba yake alimuandaa kuwa mrithi wake kwa sababu anafanana na muhasisi wa Taifa hilo. Mama yake na rais wa North Korea Kim jong-un yeye alimuita "morning star king". Inasasikika ndie rais...
Back
Top Bottom