Recent content by Zorginashao

  1. Zorginashao

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    MWENYE PDF ya Kilimanjaro jamani
  2. Zorginashao

    JamiiForums Tanzania Msaada wa namna bora ya kupika Wali Maharage

    Wakuu samahani, Naomba kuuliza namna Bora ya KUPIKA WALI MAHARAGE maana kila nikipika naona gesi inakuwa nyingi tumboni au nakosea wapi?
  3. Zorginashao

    JamiiForums Tanzania Msaada wa tiba ya ugonjwa wa fangasi kwenye kidole kidogo

    Samahani wakuu, naomba kuuliza hospital Kuna dawa za FANGASI ya kwenye kidole? Maana naona haikauki mwezi wa pili huu
  4. Zorginashao

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu HESLB, NACTE na TCU

    Sure
  5. Zorginashao

    JamiiForums Tanzania Boom

    [emoji16][emoji16][emoji16]
  6. Zorginashao

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi kozi ya Bachelor of Science in Chemistry

    Wakuu naombeni ufafanuzi juu ya hii course ya Bachelor of Science in Chemistry nahitaji kuisoma
  7. Zorginashao

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nasikia Nacte, UDOM matokeo ya admissions yametoka

    Mbona wewe ulikua unalia mkopo mda mrefu ad ukapata[emoji16][emoji16][emoji16]
  8. Zorginashao

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa watakaothibitisha vyuo (University Comfirmation) majibu yatakapotoka

    Ushauri wangu, majina yatakapotoka leo au wiki hii jiridhishe na chuo husika ndio uconfirm..ikiwemo ada ya chuo (usifanye confirmation kwa kuangalia loan board, wakati mwingine ni bahati tu), Mazingira ya ndani na nje ya chuo (nyumba au hostel za kupolea) usije ukafanya kosa baadae ukajutia...
  9. Zorginashao

    JamiiForums Tanzania University Admission Results 2020

    [emoji28]
  10. Zorginashao

    JamiiForums Tanzania University Admission Results 2020

    [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]..boom likiisha Kuna kutafutana chuon
  11. Zorginashao

    JamiiForums Tanzania Suala la carry over course moja

    I mean mtu mfno amecarry let say Chem101 akiwa first year.. second year first semester ataisoma hyo chem101 huku anasoma courses za 2nd year..ndo ilivyo kwa baadh ya vyuo..utajua mwenyewe..kama utaisoma ukiwa ndan ya system au ukimaliza chuo,pia hautagraduate adi uisome hyo..
  12. Zorginashao

    JamiiForums Tanzania Suala la carry over course moja

    Umeulizwa[emoji57][emoji57]
  13. Zorginashao

    JamiiForums Tanzania Suala la carry over course moja

    Ss Kama umecarry, mwaka unaokuja unasoma course za mwaka huo na hio pia uliocarry
Back
Top Bottom