Natumai ni wazima..
Lengo la kuanzisha uzi humu ni kutaka msaada wetu wa mawazo jinsi ya kuishi na mume mkali.
Nina miaka minne kwenye ndoa na watoto wawili.
Kwa kweli nampenda mume wangu na yeye najua ananipenda lakini napata mawazo ya kuomba talaka sababu tokea niolewe hajabadilika kabisa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.