Kuna aina mbili ya malaika...
malaika wa Nuru...
Malaika wa Giza....shetani yupo ktk kundi hili....
Sijaelewa mkitadha wako mkuu ila kwa mwanadamu Mara nyingi watu unakaa nao Mara nyingi wanauwezo mkubwa kukubadili character.....
Utatoaje kibanzi kilicho jichoni mwa mwingine wakati ww mwenyewe unacho?
Mwelevu atajitoa kwanza ndipo aanze kwa mwingine....
Kwani unafikiri hatujui kwamba nyie ndo wavuruga amani wakubwa wa taifa hili?
Kubenea mlimduu nini?
Mwambusi je?
Haya yote huoni?
Huoni hata docta ulimboka...
Yuko na familia yake, Wewe unamtaka wa nini?
Babu ana........kuwa makini na maswali yako
Hatujali chochote ila tumemchoka mkoloni huyu ccm
Tunataka waturudishie taifa letu.
Hata mbowe ikimpendeza kukaa na familia yake its OK
Sisi tunazonga mbele kwa mbele tena zaidi ya viitikio vya nyimbo...
Wanao muungu mkono magufuri wanasifa zifuatazo.
O1.Beneficiary wa CCM kwa namna moja au nyingine
02. Wamezeeka akili....hawajui how much our nation are rich...na ni jinsi gani uongozi mbaya wa ccm wameshindwa kutumia r wameshindwa resources hizo kuwapunguzia wananchi hata mzigo wa kodi tunayotoa
Sasa ccm itatuambia nini wananchi?
Toka lini watu mliwachagua wakaja lia lia kwa wananchi? Wakati they got all authority and power to prison him?
Hii nitawaona serikali legelege
walie kwa wananchi? Ha ha
Wait them and got question to be
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.