ndugu yangu bumija kugoma ndo suluhisho kwani serikali yako uliyo ichagua kwa mbwembwe na madaha mengi wapo kwa ajili ya mnufaa yao na wala si kwa ajili ya kuwasaidia watu wanyonge hivyo basi swala ni mgomo tu.
Ndugu zangu kwakweli inashangaza na kusikitisha, na patwa na kigugumizi kikubwa sana pale ambapo (continues stedents) wanapoambiwa kuwa wanahitajika kusaini ili wawekewe pesa zao. Swala la utata hapa ni kwamba! pesa hizo zinapo fika vyuoni zinapitia kwa (bassa) wa chuo. Tendo linalofuatia ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.