Bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu, hii sasa ni usanii kama serikali ya kikwete

zomanyakahu

New Member
Oct 23, 2011
2
0
Ndugu zangu kwakweli inashangaza na kusikitisha, na patwa na kigugumizi kikubwa sana pale ambapo (continues stedents) wanapoambiwa kuwa wanahitajika kusaini ili wawekewe pesa zao. Swala la utata hapa ni kwamba! pesa hizo zinapo fika vyuoni zinapitia kwa (bassa) wa chuo. Tendo linalofuatia ni kukatwa pesa kidogo kwa madai kwamba ni malipo ya benki. Sasa swali la kujiuliza ni kwamba unapochukua benki statement makato hayo huyaoni, na kwa kawaida makato yoyote ya benki huwa yanaonekana kwenye banki statement sasa kwanini makato haya hayaonekani kweny benki statement? mimi na pendekeza kwa viongozi wa serikali za wanafunzi wa vyuo vikuu vyote vyote wafuatilie kwenye Ofisi za mabenki yote na kupata taarifa za mkato hayo tena kwa maandishi ili kuondoa utata huo.
 
Hapa sasa naona Richmond imetua kwenye mikopo rasmi,wanatafuta pesa za uchaguzi 2015
 
Tatizo kubwa zaidi ni fedha kuchelewa. Mpaka sasa kuna baadhi ya vyuo continueing students hata kusaini bado (mfano Tumaini Iringa) japokuwa kuna fununu kuwa majina yametumwa wikend lakini hayana cheki. Kweli ni siasa.
 
Back
Top Bottom