Recent content by ZM Kagussa

  1. Z

    JamiiForums Tanzania Tanzania na ushirikiano wa Afrika Mashariki

    Ni ukweli usio pingika kuwa majirani zetu ndio maadui wetu wa kwanza kwani wao wapo karibu na wanatufahamu pia, watanzania tunapaswa kuwa wamoja kulilinda taifa letu, siasa za chuki kamwe hazijengi umoja wetu.
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Helloooooo!!!!

    Hodi Hodi hodi wanaJF naomba nafasi katika janvi hili lilosheheni kila kitu chenye kuvutia,kuelimisha na kuburudisha pia. Asanteni
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Nimeamua Kulima kwa mara ya Pili kilimo cha mahindi

    Kwa binafsi yangu nimeyapenda mawazo na maamuzi yako ndugu kwani kutegemea ajira tu ni kuukubali utumwa vijana wenzangu ni muda sasa umefika wa kuacha kulalamikia serikali na ukosefu wa ajira tuwekeze katika kilimo endelevu, 'there is a market out there'
Back
Top Bottom