Inahitaji kujitoa ufahahamu kiasi ili uende sawa baadhi vituo vya hbr nchini.
Kwa mtu makini kbs hawezi kufatilia jambo lolote kupitia kituo cha hao jamaa.
Kumejaa watangazaji mambulula na bendela fata upepo kuanzia redio mpk tv.
Watawapata haohao waendesha bodaboda na makondacta!!!
Haya yote ni rahisi kutokea Tanzania tuu... Ambapo mwanasiasa 'mpuuzi' kabisa na bado akapata wafuasi wengi tu!!
Inaweza kutokea Tz tu ambapo chama hichohicho kinaweza kutawala kwa zaidi ya nusu karne kwa uongo uleule na bado kikaendelea kuaminiwa zaidi na zaidi.
Hapa ndipo Tznia ambapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.