HIZI NI BAADHI YA SIFA ZA WATU WA DAR
1.UVIVU,Hasa wa kufikili haraka na kuamua.Hutumia nguvu nyingi sana kubishana kwenye mambo mipira,dini etc ilihali wengi wao ni masikini wa kutisha.
2.ULALAMISHI WA KILA JAMBO,Ni mabingwa wa kulalamika kwa kila jambo hata kama liko ndani ya uwezo wao...
masopakyindi;siasa za utabiri wa nani atakufa lini zimepetwa na wakati, watu wanataka kujua barabara zao, zahanati na shule kwa ajiri wa watoto wao zitakamilika lini na sio vifo.Tuache kutumika vibaya.!!
vita ya clouds media kwa vyama vya upinzani na hasa chadema haikuanza leo wala jana,waliofatilia kwa makini uchaguzi mkuu 2010 wanajua hili.Wanajua walivyo mchafua hata mh.sugu na Dr. Slaa. Wamechukua nafasi iliyoachwa wazi na iliyokuwa RTD. Wanajiita radio ya watu kumbe ni redio ccm kama ilivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.