Recent content by Ziyech04

  1. Z

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa dawa ya kutibu Migraine na Tinnitus

    Asante kwa msaada ndugu yangu
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa dawa ya kutibu Migraine na Tinnitus

    Asante sana kwa msaada ubarikiwe
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Anayejua dawa ya kichwa kuuma sana upande mmoja au kwa nyuma juu ya shingo(Migrain)

    Msaada jaman kwa anaefaham dawa ta kutibu migrain na Tinnitus. Yaani kichwa kuuma sana upande mmoja au kwa nyuma juu ya shingo na kupata sauti flan ndani ya kichwa au masikio
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa dawa ya kutibu Migraine na Tinnitus

    Msaada jamani kwa anaefaham dawa ta kutibu migrain na Tinnitus. Yaani kichwa kuuma sana upande mmoja au kwa nyuma juu ya shingo na kupata sauti flan ndani ya kichwa au masikio
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Betri za minara

    Wadau mwenye connection ya kupata betri ya mnara
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Kingamuzi cha Cannal plus

    Wadau kwa anaefahamu nawezaje kupata kingamuzi cha cannal hapa Tz na gharama zake za malipo huwa ni shi ngap
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    Kwa wazoefu wa kununua bidhaa kutoka Alibaba au Ebay nielekeze inakuaje na gharama zipoje mpka nipate mzigo wangu. Nataka kununua flat screen alibaba nimeona bei zao ni rahisi sana, anaefahamu anieleweshe kidogo hapo.
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Piki piki boxer engine kuwa na vishindo

    Nlibadlisha mkono lakini wapi
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Piki piki boxer engine kuwa na vishindo

    Jaman mwenye uelewa kuhusu piki piki boxer engine kuwa na vishindo na kugonga gonga tatizo litakuw nini?
Back
Top Bottom