Recent content by Ziwa jipe

  1. Z

    JamiiForums Tanzania Makato ya Mshahara kwa Daktari mpya Serikalini, bado tuna safari ndefu sana

    Wewe endelea na Ulinzi wako.
  2. Z

    JamiiForums Tanzania DOKEZO IGP Wambura tunaomba ingilia Kati hili linaloendelea kwenye hiki Kituo cha Polisi Tabata Relini

    Sasa Faini ya Bajaji ni Elfu kumi, halafu uombwe tena rushwa ya elfu kumi.Wewe sema wamekuandikia tu hao. Madereva waende Driving School,ili wasijifiche kwenye kichaka cha kupewa elimu. Kama mtu umekosea pigwa Faini au uende Mahakamani tu. Njooni Shambani tulime huku hakuna traffic kusimamisha...
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wajuzi wa mambo ya Dini, andika jina la Mtume na nchi aliyozaliwa

    Zumaridi____Usukumani Mwanza
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Rais Samia tafadhali fahamu Uhuni huu Usiovumilika unaofanywa na Polisi wako Kuingiza Watu Kinyemela Uwanja wa Benjamin Mkapa

    Wewe c ungemwambia pale pale kuwa wanachokifanya sio kizuri.
  5. Z

    JamiiForums Tanzania DOKEZO RPC Mara,OCD Wilaya ya Bunda tupieni jicho askari hawa,wanaharibu taswira ya jeshi la polisi...

    Wewe una wivu wa kike na wewe kawe mgambo Mundu sasa
  6. Z

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Uonevu uliokithiri Idara ya Elimu Manispaa ya Moshi

    Huyu ni wa kumfanya hivi tu
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Ibrahim Ngonyani adhaniwa kufariki dunia akiwa mahabusu kituo cha Polisi Arusha

    Sasa kama ni jambazi aliyepigwa risasi na akapelekwa Mahakamani, polisi unaenda kuuliza nini?
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Mbunge Mwita Waitara amwaga machozi mbele ya Wanahabari

    Mkuu wa mkoa alisemaga wabunge hawaendaji kwenye vikao. Huwa wanatumaga tu wawakilishi, kwahiyo akamuulize muwakilishi aliyekuwa anamtumaga wakati yeye akiwa bize
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Nyamongo kulikuwa na mwamba anaitwa Kenonke, historia yake inamfanya Jombi aonekane Mtoto mzuri

    Acha kudanganya watu, Kenonke wa Nyamongo alikuwaga mchumba tu
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa kituo cha Himo ondoa huyu askari mwenye nyota moja na trafiki walipo barabara ya Marangu karibu na mwanzo wa katani

    Mpk unakamatwa una tatizo, Rekebisha kwanzA Gari lako ili ukisimamishwa umwambie twende mahakamani mie sina kosa
  11. Z

    JamiiForums Tanzania Kwanini CDF aitwe Mkuu wa Majeshi wakati Polisi, Magereza na Uhamiaji wana wakuu wao?

    Simple sana, Jwtz ni Jeshi la Ulinzi, Polisi ni Jeshi la usalama. Ukisikia Amiri Jeshi wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama manake ndio Yaani Mkuu wa Tpdf, police, magereza,Tis uhamiaji na zima moto. CDF kuitwa mkuu wa Majeshi ya Ulinzi manake mkuu wa Landforce,Navy,Air force n.k. Mengine ni...
  12. Z

    JamiiForums Tanzania Wanaosali kwa Mwamposa asilimia tisini ni waislam

    Kafir mkubwa Heshim Iman za watu
  13. Z

    JamiiForums Tanzania Maeneo yafuatayo ndiyo yenye ushirikina mwingi na hayana maendeleo

    Kwahiyo Sumbawanga hatupo kwenye orodha?
Back
Top Bottom