Recent content by zitafute

  1. Z

    JamiiForums Tanzania Siendi Mkoani Ng'ooo!! Dar es salaam is the future! Mikoani ni didimizo la uchumi binafsi

    @lara1 needs to be a columnists, upate makala yako gazeti flani audience kubwa zaidi isome ideas zako. Honestly sometime naingia JF kutafuta thread zako tu
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa SLAB ya ghorofa

    Kama upo Dar naweza kukuunganisha na fundi wa kupaua mkali sanaa, ukitaka wa gypsum na fundi rangi mzuri pia
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Mh. Iddi Azan anafanya biashara gani?

    Thread ina page 14 lakini walau aliyejaribu kujibu swali ni mmoja tu.
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa SLAB ya ghorofa

    Dawa Ya Buguruni ni kwenda na futi yako we na msaidizi, mnapima wenyewe wao wanasimamia tu maana futi zao wanazikata katikati
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa SLAB ya ghorofa

    Inategemea upo mji gani Mkuu, nafahamu kuhusu Dofoma zaidi ila kama upo Dar nenda hardware za Buguruni hukosi
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Nina wazo hili wadau

    Bila shaka unaongelea chuo cha Mzumbe wewe, kwa uzoefu wangu, biashara kama hiyo ilishaanzishwa pale ikafeli so kama unataka kuifanya acha nkupe changamoto utazokumbana nazo; 1. Wale wadada wanafanya delivery service, wanakuja kuchukua nguo chafu chumbani na wakishafua wanakuletea mpaka chumbani...
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa SLAB ya ghorofa

    Marine plywood ina ukubwa wa 1.2*2.4 meters na unene wa 16mm. Mara ya mwisho nimeulizia(miezi mi3 iliyopita) minimum price ilikuwa 75,000
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kiwanda cha kutengeneza toothpick Tanzania

    Nshafatilia online kuhusu mashine za kutengeneza toothpick zipo hata za kuoperate mtu mmoja, yani hauhitaji kuwa na warehouse kuubwa kwajili Ya kufungua kiwanda, unaweza hata kufanyia kazi at your backyard, challenge niliyoiona ni jinsi Ya kupata raw materials(miti ambayo haina madhara na haina...
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha choya (rozella)

    Kwa kuanzia unaweza kutembelea hiyo link hapo http://en.m.wikipedia.org/wiki/Roselle_(plant)
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha choya (rozella)

    Hili darasa mi mwenyewe nalihitaji sana
  11. Z

    JamiiForums Tanzania Wachumi nisaidieni tafadhali

    Hilo swala lishawahi kupita akilini kwangu kwakweli, mpango huo nnao nikimaliza shule
  12. Z

    JamiiForums Tanzania Akiba commercial bank SIM-banking

    Sijakuelewa Mkuu, tatizo lililopo ni kwamba mi niliingiza pesa kwenye akaunti yangu kupitia M-Pesa ila muamala haujafanikiwa
  13. Z

    JamiiForums Tanzania Akiba commercial bank SIM-banking

    Wanajukwaa naomba msaada nifahamishwe jinsi ya kujiunga na huduma ya mobile banking ktk benki ya ACB. Nikipata msaada mapema ntashukuru maana it's kind of an emergency
  14. Z

    JamiiForums Tanzania Wachumi nisaidieni tafadhali

    Mkuu tarakishi, kwa uelewa wangu mdogo sisal agriculture is very machine-intensive kwahiyo kwenye sensitivity analysis yako usiache kupigia operating costs in case zikibadilika maana miaka 12 ni mingi. Kwahiyo include vitu kama bei za mafuta/kukodi matrekta na gharama za vibarua in case...
  15. Z

    JamiiForums Tanzania Wachumi nisaidieni tafadhali

    Kama alivosema Kichakoro project yako ni ya muda mrefu sana kwahiyo ili kupunguza risk, pamoja na kutumia hard currency kama USD kwenye analysis yako pia usiache kufanya sensitivity analysis ili uone jinsi gani inflation na kubadilika kwa exchange rate kunaweza kuaffect prroject yako
Back
Top Bottom