Recent content by zita kahabi

  1. Z

    Sijaona Kiongozi wa UKAWA aliyeshiriki katika zoezi la usafi leo, kulikoni??

    Hapo hiyo picha ni usanii.hawana ufagio wala koleo .hata kuinama tu kuokota taka.wataelewa tuuuu
  2. Z

    Chama cha CUF kususia uchaguzi wa Meya na Naibu Meya Manispaa ya Ilala

    Ukawa sio chama wajiita wana maridhiano.nisiporidhika nabeba watu wangu nawapeleka upande uleeeee.jamani hawa wakawa wasione ndani.asb rais mchana maridhiano yamebadilika huyo sio rai
  3. Z

    Chama cha CUF kususia uchaguzi wa Meya na Naibu Meya Manispaa ya Ilala

    Cuf ....hivi mlikuwa hamjijui wasindikizaji?
  4. Z

    Matokeo rasmi ya Urais kwa mujibu wa NEC (Official Results) - Uchaguzi Mkuu 2015

    Ndugu Ole utakuwa mwana ukawa.ni sahihi kabisa ulichosema.kuwa wakati wa upigaji kura wengi wa wanachadema na ukawa walipiga kona .hawakumpigia lowasa sababu ya kuondolewa wapenzi wao kwenye nyadhifa, kutoshirikishwa maamuzi mbalimbali.migogoro wa nani agombee (sio urais) ubunge au udiwani kati...
  5. Z

    Matokeo rasmi ya Urais kwa mujibu wa NEC (Official Results) - Uchaguzi Mkuu 2015

    Nijuzeni jamani kinjekitile ngombalemwiru yu wapi leo ?????hali yake vipi.????atakuwa anakimbia kivuli chake.alisema ccm imekufa.imeishiwa pumzi.kizee wewe aibu imekukumba kashauri ng'ombe monduli.unajidai huna dini....huo ushetani sio dini.ccm imekulea hadi meno yamekwisha kumudomo leo ya...
  6. Z

    Matokeo rasmi ya Urais kwa mujibu wa NEC (Official Results) - Uchaguzi Mkuu 2015

    Ushauri kwa Ed.usidandie vyama vya wenyewe.kama kweli una uchungu na watanzania kwa jinsi walivyo.anzisha chama chako.tuone sera ndio ushawishi kwetu wadau.
  7. Z

    Matokeo rasmi ya Urais kwa mujibu wa NEC (Official Results) - Uchaguzi Mkuu 2015

    Viiiiiiva mapadlock ma alcohol .....viiiiiva.tangu mwanzo hadi mwisho umeongoza njia.kweli kabisa Mungu huandaa wateule wake aliowachagua.Hongera Magufuli.
  8. Z

    Matokeo rasmi ya Urais kwa mujibu wa NEC (Official Results) - Uchaguzi Mkuu 2015

    Nimeisoma siasa.unune ucheke ulie utafune chupa na kumeza au kutema mambo lazima yaende.hii ndiyo siasa.jaji lubuva mzee wangu bila kuogopa au kutetereka ametangaza mshindi wa ukuu wa nchi.na amesema huo ndio mwisho wa tume.akiwa anamaanisha tume imetimiza wajibu na imemaliza kazi. Tujipongeze...
  9. Z

    Wanachotakiwa kujua wakina Mbatia & Co ni kuwa CHADEMA-asilia walimpigia kura Magufuli!

    Kila jambo lina mwisho.tunaendelea na maisha..haya ni mambo ya dunia yamepita.mwacheni Mungu aitwe Mungu.tukumbuke Mungu sio Athumani wala Josef.huwajalia waja wake bila ubaguzi.ukitamani leo nife Mungu ananiongezea miaka 100.tuliaminishwa lowasa fisadi.tukaamini.chadema ikawa juu.mara mpeni...
  10. Z

    Matokeo rasmi ya Urais kwa mujibu wa NEC (Official Results) - Uchaguzi Mkuu 2015

    Wachaga wamewasoma. wasukuma ni watu wenye kiburi na majigambo ya ndani ya nafsi.hawataki dharau , wana heshima na utii na upendo kwa nje tu.kitendo cha kuwapigisha deki mabarabara mkuu apite ni dharau kubwa.ondoa ajira ni swala lingine.ninawajua hii pia ni sababu mojawapo ya kuwakatalia...
  11. Z

    Iringa Mjini hali ni mbaya mabomu yanalindima

    Kaza uzi kwa mawakala wasikiuke taratibu hasa sehemu ambazo hazijatoa matokeo
  12. Z

    Iringa Mjini hali ni mbaya mabomu yanalindima

    Makamba kaza uzi kwa mawakala wa ccm wasikiuke taratibu
  13. Z

    Zitto akirudi bungeni Oktoba, nitatembea kutoka Kibaha hadi Posta

    Akili ya kitoi.tembea uchi tujionee lisenema la bureeeeeeeeee Zito upo juuuuuu juuu zaidi.achana na vibwetere wa kufikirika
Back
Top Bottom