Recent content by Zipuwawa

  1. Zipuwawa

    JamiiForums Tanzania TANZIA TANZIA: Jaji Mkuu Mstaafu, Augustino Ramadhani afariki dunia

    Kila siku vifo vipya ee Mwenyezi Mungu Tuhurumie wana Wako, tunaangamia na kuangamizwa kwa kukosa maarifa
  2. Zipuwawa

    JamiiForums Tanzania Naibu Spika Tulia Ackson athibitisha Mbunge mmoja kupata maambukizi ya COVID-19

    Waswahili walisema mzaha mzaha .......
  3. Zipuwawa

    JamiiForums Tanzania Naibu Spika Tulia Ackson athibitisha Mbunge mmoja kupata maambukizi ya COVID-19

    Wabunge Wameruhusiwa kwenda nyumbani badala ya kuwekwa kizuizini hii ni hatari zaidi
  4. Zipuwawa

    JamiiForums Tanzania Kutokomezwa kwa corona virus itategemeana sana na ukomavu wa viongozi wetu

    Endeleeni kubishana badala ya kuingia kwenye kisafina chako
  5. Zipuwawa

    JamiiForums Tanzania Ubungo wasafiri ni wengi kama mwezi Disemba, kulikoni?

    Bado kuna tatizo.
  6. Zipuwawa

    JamiiForums Tanzania Wachina wakutwa na hatia ya kuwatupa wazamiaji wawili wa Tanzania baharini

    Sisi sijui kwanini kila kitu tunachofanyiwa tunaona sawa
  7. Zipuwawa

    JamiiForums Tanzania Uwaziri wa Mambo ya Nje haumfai Kabudi

    Liwalo na liwe tu
  8. Zipuwawa

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

    Naomba mnisaidie mliopona mimi vinanisumbua sana nimesoma ushauri mwingi lakini najua ndg wapo walipona mnisaidie Hivi vidonda vya tumbo vinanitesa sana nimekuwa mtaji sasa kila dawa najaribu. ....Asanteni
  9. Zipuwawa

    JamiiForums Tanzania Kesi ya kupinga kuvuliwa Ubunge : Mahakama iamue kwa haki , Kila la heri Lissu

    Kuna mwananchi amelalamika hawamuoni mbunge wao?
  10. Zipuwawa

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mabenki hayarudishi pesa wanazokata kama " Bima ya mkopo pindi deni la mhusika linapoisha

    Mi nimemaliza mkopo iwaje nilipe fidia ya wengine bado jibu halijakaa sawa
  11. Zipuwawa

    JamiiForums Tanzania Mloganzila kunani paleeee mbona...

    Pole sana
Back
Top Bottom