1. Mungu hachunguziki
2. Mfuasi wa Shetani/baba wa uwongo (mnajimu) ndio anakupa habari za Mungu na anakushauri ukajifunze kwa walokole kuwajua malaika hapa napata ukakasi wa andiko lako
3. Unawaona malaika na wao wanakuona kupitia kuunganishwa na Mnajimu. Naona shiriki tupu zinazojaribu...
Ni rahisi kusema hivi kama halijakutokea kwa mtu wako wa karibu sana, hakuna anaependa kuumia ila likikukuta la Dunia hii grieving isikie kwa mtu. Bro Dunia inamaumivu makali sana.
Upo sahihi hizi TATAT zinaendeshwa vibaya sana akitanua harudi ila Kuna mmoja alinikosakosa hapo goms ikibidi nirukie kwa wauza matunda wa pembeni ila hatasahau nilimuungia alikula ngumi za kutosha.
Kwani kuna kifungu Cha Sheria au kanuni kinachosema wakati wa kutekeleza Sheria/kanuni au wakati wa kuvunja Sheria/kanuni utoe taarifa.
Hata ukila chakula inabidi utoe taarifa unatekeleza sheria
Ili kuweka makali na timu ziheshimiane Yanga wanapaswa kupigwa burn la maana lasivyo huko tunapoelekea kama sio machafuko uwanjani basi rungu la CAF.
I
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.