Asante .ndo hivyo najaribu kujua au kupata usahihi zaidi wa haya Mambo. Especially kuwa against na MwenyeziMungu.
Japo muongozo mingi na very positive na kukujenga zaid kwa MwenyeziMungu
Allah anajua zaidi .
Kama binadaamu ila hapo unakuta muda ulishaenda mfano..mchana nimepita mahali restaurant..pembeni alikaa mtu yuko hivi na hivi ..so jioni ndo huniambia ..kwa maana dhahiri n kwa kuona sio kuongea direct kuwa mie n flan..
Kama nilivyosema huwa bado mwoga kuhimili mambo haya ..
Mara nyingi Telepathy na hisia ..ndoto mara chache ..na dhahiri pia mara chache sana by the way huwa muoga sana so..
Bado nina mengi ya kujifunza Sana pia muda mwingi nakuwa busy na mambo ya biashara ..Unakuta hata wiki siwasilian nao.
labda mpaka iwe kuna dharura sana watanipa taarifa bila kuwaita.
Amiin InshaAllah.. Shukran maana elimu hii ukienda kwa wrong people unaweza kupotoka vibaya..na hupenda kuniambia nijitajid kutoa sadaka sana na kuMuomba Allah kwa iman ..
by the way huwa nikipata muda unaweza kuelekezwa hata mambo ya kidunia mf. biashara njia sahihi ya kufanya..
Nb..sio...
Shukran kwa ufafanuzi..sometime ilikuwa inanipa mashaka sana ..pia uelewa wa watu wanaokuzunguka ..Ni kweli maana hata wao wananisisitiza kumcha Mungu ..na nijifunze elimu akhera sana etc..kuna muda hadi nikienda mahali chakula kibaya najulishwa..Pia kuna muda wananiambiq nikiendelea na ibada...
Salaam.
Samahani napenda kuuliza unavyofanya mawasiliano ni njia gani ?
ishara ,kwenye ndoto au kwa kuja kichwani.
Maana huwa wanasema jinn au hao viumbe hawatakiwi kuja kwenye ufahamu wako mwanadamu ..ni dhambi..hapo hapo wengine ni sawa ..
Mfano nina uwezo wa kuwasilian na jinn popote...
nimejifunza mengi na naendelea kujifunza mengi kwako na kwa wachangiaji wengine .
naomba kuuliza Simba ..ukisema jini akipanda ni mbaya .lkn katika kisa hichi umesema..
Jin2 ..kama alikuwa anakwambia maneno ya kusema kumuuliza mzee Ally..ok so hapo si amepanda pia au kama ni utofauti naomba...
Ni kwamba sie tu
Story ni ndefu Ila kiufupi huwa kuna mambo huwa yanatokea ambayo nilishayasema au katika mazungumzo nasema kwa mtazamo wangu mbona hiki kitu or business naona haitakuwa au itakuwa tuendelee nayo or tusipoteze muda na inakuwa hivyo mara nyingi..
siko vizuri sana Kwenye mambo ya...
Nimeipenda hii..Maana kuna rafiki yangu mada zake zote n nyie waislam na ndo mmeleta majini ,,sijui hakuna jinn mzuri wala mbaya ..naicopy kabisa nimtumie😀😀
Kwa mtazamo huo karibu basi hutampata mwanamke hata mmoja maana hizo hapo n general ya tabia nyingi za binadamu inaweza kuwa zote au chache au hata robo tu ..bado itakuwa imeingia kwa ulicho mention hapo..so labda aje mwanamke wa kimalaika.. hakuna mkamilifu kwa binadamu awe mwanamke au mwanaume...
Kwakweli ..mwanzo alidhan hata pata watu wanaijua quran na vitabu vya mwanzo ..kwa uzuri..sasa akaleta tafsiri zake alizopita sijui wapi ilhali hana uhakika.
kajibiwa kwa ufasaha tena kwa kupitia mistari ya dini yake .
Ila sababu hajitambui na kashabeba chuki juu ya uislam ..anabaki anaruka ruka...
Pole sana dada..
Tuombe MwenyeziMungu atajalia kheri watoto watakuwa pamoja na mitihani unayopitia.
kuna watu humu wameshakariri wanawake huwa ndo chanzo cha matatizo katika ndoa .kiasi kwamba hata ujieleze vp bado utaonekana we ndo mwenye makosa .
wanasahau kuwa kuna wanaume wengine pia...
Binadamu bwana ..kuna vitu kabla hujaongea au kuandika tafakari sana ..Yaan Tanzania ni nchi ambayo watu wa madhehebu tofauti tunaishi pamoja kwa amani.
Sasa mtu ukianza kulalamika vitu vidogo kama kufungwa njia kwa dakika chache ..ilhali kwenye kwa upande mwingine kuna mambo ambayo yanaweza...
Mie kwa mtazamo wangu naona mtoa mada .. sio kwamba analaumu wazazi au kutoheshimu wazazi.
Ni kwamba anatoa maumivu anayopitia kutoka kwa wazazi
wangapi n wazazi maskini lakini anakaa kwa upendo na mtoto mpaka mtoto anaona mzazi wangu pamoja na umaskini ila kanilea kwa upendo na anamwombea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.