Ndugu yako amechaguliwa bukumbi nursing ila inaonekana hajacomfirm na anaombwa kucomfirm fanya haraka sana nenda kwenye profile yake ukomfirm 0789697993 kwa msaada zaidi
Jamaani naombeni msaada mi niliaply afya nikachaguliwa masasi nikaconfirm then nashangaa kwenye prfle yangu naambiwa continue with apps sasa cjui kama nimechaguliwa au la
Wakubwa mi nilichaguliwa chuo na nikaconfirm sasa nashangaa nnjisearch kwenye waliochaguliwa sijioni inakuawaje hapa nacte allyshah6@gmail.com nisaidieni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.