kwanza umetenda kosa
1:stahiki hutopata kwan umefukuzwa kaz kwa utoro
2:kwa mfumo wa ss ukiondolewa huwez ajiriwa tena kwan jina lako lpo kwenye data base
3:kwa kuwa uliamua kusoma ulichokupenda hopely utajiajir kupitia hyo fan,nikutakie mafanikio mema
kukopa s kujitia umaskin,wafanyabiashara wakubwa waliofanikiwa ndo wakopaji wakubwa,issue unakopa kwa sababu gani?unawekeza wapi? ukitambua hayo utakopa kwasababu maalum
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.