Hebu ngoja kwanza... sisi wanainch tuitoe ccm kushirikiana na chadema alaf madarakani akae nani? CHADEMA? kweli bado unadhani chadema bado wanafaa kupewa inch hii???
CCM tumeichoka, lakin ni bora ccm kuliko chadema. Tutafanya hivyo siku kikitokea chama makini kuongoza serikali lakin sio chadema.
ha ha ha ha... bavicha mna matatizo sana. Anaandika mmoja alaf mnaanza kukomenti wenyewe..
Ni kweli hatujapanda madaraja,
ni kweli mishahara haijapanda,
lakini pesa ambayo tungeongezewa tunaona inavyotumika kwa mambo ya msingi kabisa kwa maendeleo endelevu ya inch yetu.
Nyie endeleeni...
hakuna kesi ya kujibu.. hata wanasheria wa serikali wanajua hilo. hizo ni kash kash tu kuwanyamazisha wanaokuwa na mawazo mbadala dhidi ya yule aliyewateua. ataachiwa huru tu.
yote yale yale.. yaan ccm=cdm=ccm=cdm.... ndo tunasubiri mje kutwambia tuwachague ninyi badala ya ccm. tutawauliza kwa nini ninyi na sio ccm, hamtakuwa na la kusema sababu wote ni wale wale.
ikifutika rangi tutachora tena, ikifutika tutachora tena na tena.. mpaka ifike mara 40 ndo tutakuwa tumefikia gharama ya kuchora kwa mara moja ambayo wale jamaa walitaka tukachoree kule nje. Pengine kufikia kuchora mara 40 itakuwa ni miaka 40. sio mbaya
akipita bila kupingwa hakuna pesa itatumika. hakutakuwa na uchaguzi. wanamtangaza wanamwapisha maisha yanaendelea.
Au unadhani kule temeke kuna hela ilitumika?
hata slaa alipendwa sana kuliko hata huyo Lissu. yupo wapi saiz???? siasa za bongo achana nazo. utaumiza kichwa tu, fikiria mambo ya kukuletea maendeleo binafsi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.