Recent content by Zimbolo

  1. Z

    JamiiForums Tanzania Diploma In Nursing and Midwifery: Fursa na changamoto zake.

    Uzuri wa kozi/ ubaya ni mtazamo wa muhusika..kwa mtazamo wangu ni kozi nzuri maana inanipa riziki *kuhusu fursa siwezi sema direct zinapatikana sana/ hazipatiani ila inategemea unatumia vipi akili yako kutafta fursa *ukitumia vyema akili yako fursa zipo..unaweza jiajili mwenyewe (kufungua duka...
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Re~post.msaada wa mawazo

    Poa—Asante
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Mtu aliyesoma Bachelor of Science in Microbiology atafanya kazi wapi??

    (Patients handling) io knowledge hana —nilitaka kusoma,nikauliza,nikajibiwa ivyo
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Re~post.msaada wa mawazo

    Asante mkuu..uhusiano upo mkubwa lakini Tatizo nimeona wakati wa ku update vyeti vyangu nitasajiliwa upya kama nutritional officer hivyo salary yangu pia itashuka kutoka TGHSB -TGSD kwaio sitakua nimefanya kitu cha maana
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Re~post.msaada wa mawazo

    Asante sana mkuu #nimeogopa kabisa [emoji120]
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Re~post.msaada wa mawazo

    Nimeshindwa niamue kipi__ndio maana nikaomba ushauli wako
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Re~post.msaada wa mawazo

    Asante [emoji120]
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Re~post.msaada wa mawazo

    Samahani naomba kuuliza kwa anaefahamu. mimi ni muuguzi (ngazi ya diploma) niliomba kujiunga na ngazi ya degree mwaka huu na nimefanikiwa kuchaguliwa kozi ya human nutrition(sua) swali langu ni kama ifuatavyo 1.je nikimaliza io kozi wakati wa ku renew leseni tnmc nitapewa leseni ya aina...
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Anayesomea clinical medicine anaweza kuja kusomea degree ya medicine?

    Wewe umesoma kipi kati ya nursing na Co? Au umesoma vyote na kungundua pagumu wapi,wapi pepesi? Be positive kaka ongea kitu kwa evidences ili uweze kusaidia wasiojua
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Anayesomea clinical medicine anaweza kuja kusomea degree ya medicine?

     kaka asante kwa kuchangia mada lakini umetudanganya
  11. Z

    JamiiForums Tanzania Anayesomea clinical medicine anaweza kuja kusomea degree ya medicine?

    Islet sizani kama ulichosema ni sahihi CO sio ngumu wala Nursing pia sio ngum  lakini uo utafiti wako et Co ni ngum kuliko nursing sio kwel... Kusoma certificate ya nursing inatakiwa CCD Lakin diploma ya Co inatakiwa DDD___sasa kati ya hao ni yupi anaonekana hana uwezo?
Back
Top Bottom