Mtu aliyesoma Bachelor of Science in Microbiology atafanya kazi wapi??

moj6

moj6

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2017
Messages
1,461
Points
2,000
moj6

moj6

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2017
1,461 2,000
kwaio in summary mtu aliyesoma Bachelor of science in Microbiology anaweza kufanya kazi hospitalini kama yule aliyesoma medical laboratory???
Yaan anafanya ,ndio maana hata Field zao hupelekwa mhimbili Hosp nakadharika
 
CABANA

CABANA

Senior Member
Joined
Feb 6, 2013
Messages
132
Points
225
CABANA

CABANA

Senior Member
Joined Feb 6, 2013
132 225
Yaan anafanya ,ndio maana hata Field zao hupelekwa mhimbili Hosp nakadharika
Kufanya field Muhimbili hakumfanyi kufanya kazi hospitalini....... anaweza kuwa mwalimu pia wa microbiology kwenye collage za afya. Asome tu..... viwanda vya vyakula na madawa vipo vingi atapata tu kazi.
 
moj6

moj6

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2017
Messages
1,461
Points
2,000
moj6

moj6

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2017
1,461 2,000
Kufanya field Muhimbili hakumfanyi kufanya kazi hospitalini....... anaweza kuwa mwalimu pia wa microbiology kwenye collage za afya. Asome tu..... viwanda vya vyakula na madawa vipo vingi atapata tu kazi.
Kuna wadau wameajiliwa kabisa ,tena wengine wamesoma Sua lakin wameajiriwa kwenye maabara za hospital, ila mambo yamebadikika saiv,
 
SODOKA

SODOKA

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Messages
1,656
Points
2,000
SODOKA

SODOKA

JF-Expert Member
Joined Sep 15, 2012
1,656 2,000
Ahsanteni wakuu...kwa asilimia kubwa comments zenu zimemfanya aniamini coz alikuwa mbishi sana .. infact nilikuwa nautambua ukweli halisi wa hii course kuwa hawez kuingia hospitali direct kama yeye anavyodhan lakin alikuwa anajenga ubishi kwa hoja ya microbes ...tunajua magonjwa hayaenezwi na microbes pekee ndo maana kuna Microbiology, Parasitology na entomology
 
SODOKA

SODOKA

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Messages
1,656
Points
2,000
SODOKA

SODOKA

JF-Expert Member
Joined Sep 15, 2012
1,656 2,000
(Patients handling) io knowledge hana
—nilitaka kusoma,nikauliza,nikajibiwa ivyo
Kweli mkuu...huyu wa Microbiology hana patient handling hajasoma hata history taking ...labda kama akiforce kufanya ila atakuwa dipu kwenye urinalysis..gram staining,field staining ,,anaweza kuchezea microscope kama zote
 
S

scientist 08

Member
Joined
Aug 8, 2017
Messages
46
Points
95
S

scientist 08

Member
Joined Aug 8, 2017
46 95
Ndio lakn ni Kwa kuforce,
Kwasababu kunamasomo basic ambayo medical lab ameyasoma yanayomsaidia katika ufanyaji Kazi wake hospitalini mfano
1) Amesoma Anatomy ambayo itamsaidia kwenye sample collection Kwa kujua Blood vessels
2) Amesoma biochemistry hii inamsaidia kwenye biochemical changes kwenye mwili wa binadamu na kuweza kujua tatizo ni lipi
3) Amesoma masomo mengine ya lab kama Hematology, Parasitology, pathology and histology, forensic sciences pamoja na laboratory management
Lakn huyu wa udsm yeye tangia alipo ingia chuo anasoma microbiology in general
Hili la kufanya field muhimbili wanakuja tu kwasababu kunamicro organism wanaokuwa isolated kwenye sampuli za wagonjwa Bas
Ila baada ya ajira kuwa ngumu graduate hawa pamoja na wasua wameomba nao Kufanya Kazi hospitalini jambo ambalo bado lipo kwenye mazungumzo ila nikinyume cha utaratibu Sehemu yao yakufanya Kazi ni nyingine kabisa, ila tuwaombee wakubaliwe na wizara
 
Nimekupata mkuu
 
N

neurosurgeon

Member
Joined
Sep 22, 2015
Messages
75
Points
95
N

neurosurgeon

Member
Joined Sep 22, 2015
75 95
Exactly! Anaweza kufanya kabisa.
[/QUOTEkunatofauti kubwa kati ya medical microbiology na microbiology. Microbilogy in application kwenye maeneo mengi viwandani, mazingira, madini,nishati baharini, n.k.ila medical microbiology ina deal na hospital tu na ndio inakuwezesha kufanya kazi hospital
 
Forum statistics

Threads 1,303,521
Members 500,948
Posts 31,484,475
Top