Recent content by zilipher

  1. Z

    JamiiForums Tanzania Uhakika wa Lowassa kushinda sasa ni mdogo

    Daaah kwa hali hii kusema kweli lazima tukubali kulingana na matokeo yanayosomwa na NEC mtoa mada yupo sahihi japo tunapinga ukweli kujipa imani
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Kituo cha Polisi chavamiwa na kuchomwa moto Morogoro

    hizo ni hasira tu pamoja na kutokujua sheria na taratibu zinafuatwaje sio kila tukio lihusiane na mambo ya kisiasa tusiwe wavivu wa kufikiria.@ mr erik usilete ushabiki wako wa siasa na vyama kwenye maswala ya vifo baab...
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Polisi wapiga marufuku maandamano kwa vyama vya siasa

    Ebu tuache kulaumu kabla ya kuangalia mbali nini kitakachotokea pale maandamano ya kurudisha fomu yatakutanisha wafuasi wa vyama tofauti tofauti mimi nadhani wataanza kwa kutema mate chini badae watatemeana na kitakachofuata ni vurugu tupu. Au mnataka uvunjifu wa amani unaoweza kupelekea vifo na...
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Pata gari used kwa bei poa

    kama unaweza weka bei kaka ili iwerahisi atakama mtu anakupigia ajue anaongea bei gani
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Kituo cha Polisi Ukonga Stakishari chavamiwa na Majambazi

    Re: Kituo cha Police Ukonga Staki Shari chavamiwa na majambaziMimi nadhani hili ni tatizo zaidi ya ujambazi, jambazi hutafuta hela ni si kutafuta silaha watanzania tukiendelea kujadili mambo kirahisi namna hii tujue tunazidi kuchelewa kulikabili tatizo. Kwa mwenye akili atakuwa ametambua kuwa...
  6. Z

    JamiiForums Tanzania GE2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

    kama liko wazi si wakate rufaa??
Back
Top Bottom