Recent content by zigi 01

 1. zigi 01

  Vijana someni Uuguzi, una fursa nyingi

  Cutting point kwa kozi zote za afya ni 6 utofauti ni masomo tu yaliyopo ndani na ni mdogo tu sio kwamba eti nursing ina Cutting point kubwa kuliko course nyingine sio sahihi! Mwenyewe nazani unaona hapo ni 6 kote
 2. zigi 01

  Vijana someni Uuguzi, una fursa nyingi

  Mhhh hii ni balaa! Unaonesha ww hujui kitu kabisa! St John's wanatoa course ya udaktari toka lini??? Na cutting point ya nursing ipo juu kuliko ya udaktari toka lini??? Hebu uwe unasoma au kama vitu huvijui it's better ukakaa kimya na sio kuleta data za uongo tu ili kupamba kitu
 3. zigi 01

  Nina tatizo la kutoka majimaji ukeni yanayosababisha kuwasha sehemu za mashavu ya uke

  Ukitibiwa unaendelea kukutana na mwenza wako? Maana isijekua ugonjwa unautoa kwa mwanaume na hajatibiwa bado so unakua unazunguka tu
 4. zigi 01

  Visual Basic Programming

  Ni data analysis na kutengeneza simple program
 5. zigi 01

  Visual Basic Programming

  Nimeshajaribu hivyo nimeshindwa hivyo nahitaji assistance kidogo nipate mwanga kidogo ndio niendelee mwenyewe vizuri
 6. zigi 01

  Visual Basic Programming

  Yes I'm gonna pay him if she/he is good and committed to teach me!
 7. zigi 01

  Excel for Professional, Tally ERP & QuickBooks Training

  Kwa sisi wa mikoani kuna njia yoyote ya kutusaidia ili tuweze kusoma? Kama kwa kutumia zoom na nk?
 8. zigi 01

  Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

  Ila soundbar naona ilikua inapiga vizuri zaidi ya hometheater
 9. zigi 01

  Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

  Hometheater ya 1000watt na soundbar ya 600watt ndio nilikua naziangalia zote za LG
 10. zigi 01

  Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

  Ahsante! Hata mm nililiona hilo nilikwenda shop nikawa nasikiliza hometheater na soundbar! Nikagundua soundbar ipo good ila nilitaka kupata ushauri wa kufundi zaidi ahsante sana
 11. zigi 01

  Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

  Ok so kiubora wa muziki kati ya soundbar na hometheater ipi ni nzuri zaidi
 12. zigi 01

  Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

  Kuna soundbar zipo kama hiyo hometheater tu mfano LG soundbar ya watt 600 ina spika ndefu mbili na bar 1 na hiyo woofer 1
 13. zigi 01

  Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

  Mimi nataka kwa ajili ya kusikilizia mziki kutoka kwenye TV na pia kupigia mziki kutoka kwenye flash au simu yangu
 14. zigi 01

  Hometheater vs Soundbar

  Naomba ushauri kati ya kununua soundbar au hometheater ipi itakua ni nzuri zaidi kwa matumizi yangu? Maana nahitaji moja wapi kati ya hizi na sijui utofauti wake! Na no vitu gani vya kuzingatia wakati wa kununua. Ni maduka gani kwa Dar naweza pata kwa bei nzuri?
 15. zigi 01

  Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

  Naomba ushauri kati ya kununua soundbar au hometheater ipi itakua ni nzuri zaidi kwa matumizi yangu? Maana nahitaji moja wapi kati ya hizi na sijui utofauti wake! Na no vitu gani vya kuzingatia wakati wa kununua
Top Bottom