Recent content by ziehl neelsen

  1. ziehl neelsen

    Barua kutoka kwa teacher.

    Watoto hwapendi xhuleeeee!
  2. ziehl neelsen

    English shidaa

    Hebu uliza ili swali kwa kizungu kwnza nikupe jibu xx hv!
  3. ziehl neelsen

    Mitandao ya simu na aina za watumiaji wake nchini Tanzania.

    Ulizingatia vigezo vyote vya utafiti kweli?
  4. ziehl neelsen

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Tu ni neno dogo lenye maana yaki enterobious vermicularism
  5. ziehl neelsen

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Tu endelee kumtafuta huyo wa mwisho
  6. ziehl neelsen

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Sijui kama wa mwisho atapatikana
  7. ziehl neelsen

    Mada maalum: Mchakato wa udahili vyuo vya afya

    Ata mm namunga mkono kuna madogo mwaka jana wamechukuliwa medical lab kibao kwa d2
  8. ziehl neelsen

    Hii mimba jamani, mwenye uelewa..

    Wakuu naomba kuliza!! Ina mana kuna kipimo kingine cha HCG{human gonadotropin hormone} ukiacha UPT na macroscopicaly agulitination..?? Mana naona ubishani.
  9. ziehl neelsen

    Tatizo sugu la kutoa usaha kwenye uume

    Much pole kwako buro!! Ngono zembe ni jatari sana mana mpaka uwe na discharge kwenye sehemu ya siri dat means una STD. La mana nenda kafanyiwe diagnosis ya syphiliss iwe RPR{rapid plasma reagn} au VDRL if nor aggulitination found ndo urudie test ya naisseria gonorroheae,
  10. ziehl neelsen

    Selection college of health tanzania 2014/2015

    Dah!! Kutakuwa na mistake ndogo mkuu ila nmefurahi leo kuona wa2 wameanza pangiwa KAM na wizara ya afya.. Kwa ushauri wangu ukija kama njoo kwa uangalifu mana saiv kuna mtafaruku kati ya chuo na wanafunzi ni ushauri tu mkuu mana na mm ni mwanafuzi wa KAM!!
  11. ziehl neelsen

    Kunani chuo cha KCMC?

    Njoo KAM saiv wanatoa ila kwa level ya diploma
  12. ziehl neelsen

    Naumwa hata sijui nini, Nipeni ushauri mbadala

    Pole..ushauri wangu nenda hospital wakufanyie full blood picture diagnosis ili waweze jua tatizo liko wapi mana wamesha sema auna malaria basi yawezekana una anaemia ivyo yabidi ufanyiwe HAEMOGLOBIN ESTIMATION. Possibility yakuwa na ANEMIA 80%.
  13. ziehl neelsen

    Ufafanuzi wa jinsi ya kusoma kifaa cha kupima HIV.

    H.I.V rapid test ni DETERMINE,UN-GOLD pamoja na SD-BIOLINE ambacho siku hizi akitumiki sana.katika kila kipimo kuna mistai miwili ambayo ni control&patient band.hiwapo mistari itatokea miwili kwenye conjugate{coloring compound} ina manisha mtu uko ve+ ila ukiwa 1 kwenye control it means upo...
  14. ziehl neelsen

    Tumbo kuuma sana

    Ahaaaa!!!!! Nmesma medcal lakni nilikuwa sjui kama mwanamke naye anatokaga ute akifikia kipindi flani-flani ahsante mkuu kwaku nfundisha hlo!!!
Back
Top Bottom