Recent content by ZEZETA KUU

  1. Z

    JamiiForums Tanzania Ujambazi mkubwa umefanyika jana Katoro. Maduka ya M-pesa yameporwa pesa. Milio ya bunduki ilirindima watu wakajifungia uvunguni

    Mimi Niko Katoro na ninafanya hiyo biashara ya m pesa mbona sijasikia tukio lolote la ujambazi??. Ni mtaa gani wameibiwa??
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wenye UKIMWI wanakuwa na hasira sana?

    Siyo wote wenye hasira. Wenye hasira ni wale ambao unakuta ni mwathirika alafu ni masikini. Sasa ukichanganya vyote hivyo ndo hasira inatokea automatically. Hii mara nyingi inatokea kwa wanawake na wakati mwingine inafika hatua wanaanza kuwa tofauti na awali .Yaani unakuta mwanamke ni mzuri na...
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Hiki kinachoendelea anachofanya Trump kwa Putin ni dharau ya wazi wazi, Hebu jionee mwenyewe

    Hizo ndege zilipitishwa ili kutoa heshima ,yaani ni kama Gwaride kwa upande wa jeshi la aridhini.
Back
Top Bottom