Recent content by Zeyn

  1. Z

    JamiiForums Tanzania Kinachotokea kwenye msafara wa Rais Magufuli kinatoa picha gani?

    Ni kawaida chama chochote kikiamua kufanya kampeni wafuasi wake watajaa kutaka kumsikiliza mtu wao
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ni Rais pekee Afrika anayeweza kutembea na kuhutubia kwa muda mrefu

    Kwa faida gani?
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Ni kipi cha heshima na manufaa wanachokipigania kwa nchi yetu hadi tuwaite mashujaa?

    Dah unachokiandika si tu hakiendani na elimu yako Hakiendani hata na umri wako
  4. Z

    JamiiForums Tanzania KISUTU, DAR: Tundu Lissu afikishwa Mahakamani Kisutu, akosa dhamana

    Mungu mbariki Tundu Lisu
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Uko wapi uzalendo wa Tundu Lissu kwa Nchi yake?

    Patriotism siyo kusema ndiyo kwa kila atakalo raisi Uzalendo unaweza kuonekana kupitia matendo mengi Ikiwemo kupigania freedom of speech kwa nchi yako,kupigania Demokrasia ,Kupigania uwazi,Equity and Equality na mifumo bora ya utawala wa nchi Uzalendo ina definition pana na definition mliyonayo...
  6. Z

    JamiiForums Tanzania CCM ikubali ukweli, Rais Magufuli anakosa mikakati

    Kweli
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Kuibuka kwa Tundu Lissu ndani ya dhana ya kujaza ombwe

    Tundu Lisu ni zawadi kutoka kwa Mungu kwa nchi hii Ni mtetezi halisi wa tanzania ni Mzalendo wa kweli
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Mtoto wa mjomba, Bombadia, Ukanda na kitabu maarufu cha "It is our turn to eat"

    Thank you Lisu Katika TZ ya sasa ni wachache wenye ujasiri wa kuongea hadharani wale wanayoyafikiria.
  9. Z

    JamiiForums Tanzania USAHIHI: Kilichotokea kati ya Juliana Shonza na Wabunge wa Upinzani kwenye viwanja vya Bunge, Dodoma

    Mungu tuepushe na hasara kama hizi
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Hivi CHADEMA ama hawaoni kuwa Mbowe ni Mfalme ndani ya chama chao?

    Kwahiyo nchi ni chama Nyie mmekula maharage ya wapi Mmoja ni mwenyekiti wa CHADEMA yeye kua mwenyekiti wa chadema hata miaka 50 haiwahusu wana CCM Na mwenyekiti wa CCM akiwa mwenyekiti hata maisha yake yote sio tatizo kwa wana CHADEMA Lakini Raisi wa nchi sio raisi wa CCM ni raisi wa watanzania...
  11. Z

    JamiiForums Tanzania Makosa hatari yanayomgharimu Tundu Lissu!

    Labda definition yako ya uzalendo ni ya tofauti Sijaona Mzalendo TZ kama Tundu Lisu Nikikumbuka harakati zake za kupigania haki za wanaoishi maeneo ya migodini Harakati zake za kupinga Mikataba ya kupitishwa kwa hati za dharura Harakati zake za kupigania Bunge lisimame kama mkosoaji na mshauri...
  12. Z

    JamiiForums Tanzania Hivi CHADEMA ama hawaoni kuwa Mbowe ni Mfalme ndani ya chama chao?

    Hata mi naunga hoja Magu aendelee kua Mwenyekiti wa CCM hata miaka hamsini Na Freeman aendelee kua mwenyekiti wa CHADEMA hadi pale atakapohitajika mwingine.
  13. Z

    JamiiForums Tanzania Makosa hatari yanayomgharimu Tundu Lissu!

    Tatizo ni kwamba anatuhumiwa na ccm na sio wanachama wake sasa obvious hizo zinaonekana tu ni hila za kisiasa
Back
Top Bottom