Ni moja ya kijana shupavu ndani ya ccm,ufanisi wake ktk majukumu yake tangu korogwe umejidhihirisha pasipo shaka!Hakika hii awamu ni ya vijana wachapakazi tu!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] hadi umuone waziri kwa vyombo vya habar au akikurupka ndo ujuwe anaendana na kasi ya Rais?wote wanaendena na kasi yake ndo maana bado anawaamini ktk nafasi zao
Mkuu huwezi kumlipa mtumishi hewa hata kama ana mkataba!muhimu uwakiki umalizike ndo stahiki zao wapewe
Hicho kiwanda ni potential sana na new technology so itakuwa ni uwendawazimu kiwanda kisizalishe!
Mkuu hii hali inaonekana imekuwa mbaya sana,Jana habari saa 3 usiku Times FM wameripoti kuwa wafanyakazi wako kiwandani wakimsubiri Mkurugenzi wa NDC usiku huo na baadaye ikaripotiwa tena Mkurugenzi huyo anaongea na wafanyakazi hapo kiwandani!
Ninachoona inawezakana kuna wafanyakazi hewa wengi...
Inaonekana nawe ni muhanga,umejuaje maboss hawana majibu??Jamaa yangu kakiri ni kweli hamjalipwa pia hakuna kazi mnayofanya pale zaid ya kuchakaza majengo tu!Vijana hii awamu ya 5 ni ya kazi tu,sasa kama hamfanyi kazi mnategemea mlipwe nini??
Serikali ichungulie huku NDC inaonekana kuna watu...
Mbona kuna watu kibao tu wa Udsm au Sua wako kitaaa??muhimu jipange mkuu kwa interview usidhani jina la chuo au GPA ni kigezo cha kupata kazi.....kwa andiko lako tu umeonesha inferiority so hufai kuajiriwa
Kama hii taarifa ni ya kweli namhurumia sana jamaa yangu tulikuwa naye job,akasitisha kwa mbwembwe contract na kwenda kuanza kazi huko kwa wacuba hapo Kibaha.......ilikuwa mwaka Jana mwezi wa 4 pia nakumbuka jk alikifungua kwa mbwembwe!
Tena mshikaji alitafuta hadi passport eti akawa anadai...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.