Recent content by Zero Conscious

  1. Zero Conscious

    Ulishawahi kutengwa na rafiki yako wa karibu baada ya yeye kufanikiwa? Toa kisa chako ilikuwaje

    Mkuu binadamu tumeumbiwa kusahau pale tunapovuka hatua moja ya maisha. Ila hatma ya maisha yetu anayo muumba. Nafrahi kusikia ulipata kazi pia na maisha yako yanaendelea kama kawaida
  2. Zero Conscious

    Ulishawahi kutengwa na rafiki yako wa karibu baada ya yeye kufanikiwa? Toa kisa chako ilikuwaje

    Ni kweli mkuu, sikuwahi kujua hili labda kwakuwa ndio nakutana nalo mara ya kwanza. Nitazidisha jitihada pia mkuu🙏
  3. Zero Conscious

    Ulishawahi kutengwa na rafiki yako wa karibu baada ya yeye kufanikiwa? Toa kisa chako ilikuwaje

    Mkuu usimfikirie vibaya, nenda nae vizuri tu kikubwa unafahamu jinsi tulivyo wanadamu. Do not expect anything from anyone to avoid disappointment. Tenda nafasi yako tu
  4. Zero Conscious

    Ulishawahi kutengwa na rafiki yako wa karibu baada ya yeye kufanikiwa? Toa kisa chako ilikuwaje

    Sawa mkuu, ila ujue katika maisha kuna vipindi pia, kama muda Bado hata mtu upambane vipi Bado kupanda inaweza kuwa ngumu. Unadhani nafanya nini hata ukinipunguza? Yaani nakosa kuwa na maana kwakuwa wewe umetangulia kupata kabla yangu? Ni vizuri lakini Pia kwa upande wa pili ngoja nijitafakari...
  5. Zero Conscious

    Ulishawahi kutengwa na rafiki yako wa karibu baada ya yeye kufanikiwa? Toa kisa chako ilikuwaje

    Hujanielewa mkuu, lakini nashukuru kwa maoni. Nitazidi kupambana pia
  6. Zero Conscious

    Ulishawahi kutengwa na rafiki yako wa karibu baada ya yeye kufanikiwa? Toa kisa chako ilikuwaje

    Wakuu habari za wakati huu! Nina Imani mu wazima wa afya na mnaendelea kupambana na maisha ya Kila siku. Mungu atusaidie sana. Kama ambavyo title inajieleza, Mimi ni mtu ambae sina marafiki wengi, si kwakuwa ninajiskia sana, hapana ila ni aina ya watu ambao ninaweza kusema ni introvert. Nina...
  7. Zero Conscious

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    They have to thank God for the absence of Cucurella,, other wise they wouldn't even get that single goal
  8. Zero Conscious

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    😂😂😂 Kaujanja ka kihuni
Back
Top Bottom