Recent content by Zero Competition

  1. Zero Competition

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza king'amuzi cha Startimes na dish lake

    Ukitaka nakutumia, piga simu kwenye hiyo namba.
  2. Zero Competition

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza king'amuzi cha Startimes na dish lake

    Nauza king'amuzi cha Startimes kikiwa na dish lake, remote controller, waya wake wa kutoka kwenye dish hadi kwenye decoder pamoja na power adopter yake kwa Tshs 35,000 Kimetumika miezi 4 tu Nipo Mbezi Luis Mawasiliano 0767696021
  3. Zero Competition

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano wa kila mwanaume kuoa mwanamke bikra?

    Nimekua nikiona washauri wengi wa masuala ya mahusiano wakitushauri wanaume kuoa wanawake bikra kwa kigezo kwamba ndio wanawake pekee ambao hawawezi chepuka kwenye ndoa zao tofauti na wale ambao wanaingia kwenye ndoa wakati tayari bikra zao zlishatolewa na wanaume wengine. Hao wanaotushauri...
  4. Zero Competition

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi mwanaume kamili unawezaje kuishi bila mke?

    Wasio na ajira wanacho cha kujitetea.
  5. Zero Competition

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi mwanaume kamili unawezaje kuishi bila mke?

    Zamani nilivyokua naishi msela nilikua naona jambo la kawaida tu ila baada ya kuoa naona tabu sana kulala mwenyewe , yaani wife akisafiri siku tatu au wiki naona kama mwaka. Nishazoea kushtua na wife kabla sijalala sasa nikiwa mwenyewe napata tabu sana ingawa kuna siku nyingine sijiskii hamu ya...
  6. Zero Competition

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza kwa anayefahamu

    Kuna kampuni moja ilikuaga na ofisi Ubungo mawasiliano ila baadae walihamia Tegeta, shughuli yao ilikua ni kukopesha pesa kwa dhamana ya bidhaa za kielektroniki kama TV, Radio, Fridge au Simu. Nilisikia walihamia Tegeta ila kwa bahati mbaya kwasasa sina mawasiliano yao, yoyote ambae anawafahamu...
  7. Zero Competition

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Mwaka flani katika pitapita zangu mtandaoni niliwahi opoa mwanamke mmoja ambae kipindi hiko alikua yupo mkoa na mimi nipo mkoa mwingine kwahiyo tukawa na long distance relationship ingawa alinambia baada ya miezi kadhaa atakuja mkoa nilipo. Kwakua sikumuambia kwamba nina mke basi yule manzi...
  8. Zero Competition

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuwa na mahusiano na Wanawake wasio na pesa ni tabu sana

    Wazo zuri sana
  9. Zero Competition

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuwa na mahusiano na Wanawake wasio na pesa ni tabu sana

    Una akili sana, take your flowers 🌷🌷
  10. Zero Competition

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza king'amuzi cha Startimes kwa bei nafuu

    Nauza king'amuzi cha Startimes kwa Tshs 20,000 tu. Kipo na Adapter yake ya umeme pamoja na remote controller yake. Kimetumika miezi mitano peke yake Nipo Mbezi Luis karibu na Stand ya mabasi ya mkoani ya Magufuli Karibu upate kilicho bora Mawasiliano: 0767696021
  11. Zero Competition

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke akiwa amechora Tattoo sijisumbui hata kumuomba namba yake ya simu

    Antibiotic
  12. Zero Competition

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke akiwa amechora Tattoo sijisumbui hata kumuomba namba yake ya simu

    Mmh hapana kwakweli
  13. Zero Competition

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke akiwa amechora Tattoo sijisumbui hata kumuomba namba yake ya simu

    Wengi wanaochora Tattoo kwenye maziwa huwa wanaacha ile sehemu wazi ili upate kuziona Tattoo zake, au wewe hujawahi kuwaona hao wadada ?
  14. Zero Competition

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke akiwa amechora Tattoo sijisumbui hata kumuomba namba yake ya simu

    Binafsi hii ni moja ya red flag kubwa sana ambayo inaniogopesha toka kwa mwanamke, hii ni kwangu mimi lakini sijajua kwa wanaume wenzangu wanachukuliaje jambo hili. Just imagine mwanamke amechora Tattoo kwenye maziwa au kwenye makalio na sehemu zote hizo wakati anachora Tattoo Artist amezishika...
  15. Zero Competition

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nitumie app gani kudownload video kutokaa YouTube?

    Shukrani sana kiongozi sasa imekubali
Back
Top Bottom