Maarifa ya maisha, kujitegemea bado ni changamoto, wazazi kwa walimu wangepaswa kuwa mstari wa kwanza kuwaandaa watoto na vijana kwa maisha kamili, kabla maisha hayajaanza kuwapa mafunzo ambayo hawakuwa tayari wala hawakujiandaa kuyapokea
Tuchukue tahadhari mapema, tusome kuikomboa zaidi jamii, na si jamii itukomboe wasomi. Kukata tamaa sio suluhisho la matatizo, naendelea kusisitiza juu ya suala hili, leo na kesho. Haijalishi taifa ama serikali itakufanyia, lakini jitahidi kufanya kitu kwa ajili ya taifa na serikali yako. Lakini...
Tuitumie vizuri kwa manufaa binafsi na jamii zetu, bika kujali ajira. Maarifa na ujuzi vinatosha sana kubadilisha maisha, tujitume, tujiamini, tuache uoga wa kutumia nafasi tulizo nazo. Pia tumtangulize Mungu katika mipango yetu, amin tutafanikiwa katika nyanja mbalimbali za kimaisha.
Ni kweli, mfumo wa elimu unatakiwa kuangaliwa vizuri, ili kuwaandalia mazingira mazuri wahitimu kujiajili ama kuajiriwa. Vile vile wasomi wanatakiwa kukubaliana na hali iliyopo, sababu wengi wanakata tamaa. badala yake uwezo walioutumia darasani wautumie vizuri kwenye jamii na maisha ya kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.