Recent content by Zeng

  1. Zeng

    JamiiForums Tanzania Sakata la Ndege iliyokamatwa Canada: Tundu Lissu akamatwa na Polisi kwa kumkashifu Rais. Anyimwa dhamana

    Hizi story za kamata, achia, kamata, achia...zimetuchosha!!
  2. Zeng

    JamiiForums Tanzania Prof. Kabudi: Sheria mpya za madini hazitahusu migodi inayoendelea

    Duh hi sanaa Hadi lini?
  3. Zeng

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Jua liwake, mvua inyeshe lakini Stiglers George itajengwa

    Mtaisoma sana na bado
  4. Zeng

    JamiiForums Tanzania Hussein Bashe anatoa wapi jeuri aliyonayo?

    Bashe is right. Strong and objective to issues. He is firm and straight forward. Let him be....
  5. Zeng

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2021

    Ni ngumu sana watu kuuelewa ukweli. Na kamwe tusitaraji watu wote kuunga mkono. Kuna watu Ni Kama gari la takataka, wanatafuta pa kutua take zao. So watakutukana, watakuponda na kukubeza sana hata Kama utakuwa umeusema ukweli. Basi kikubwa wapungie mkono tu usonge mbele na maisha yako. Utazame...
  6. Zeng

    JamiiForums Tanzania Jinsi bilionea wa IPTL-Tegeta Escrow alivyonaswa Airport akitaka "kutoroka"

    Siku tukivuka salama na Singa kutiwa hatiani basi najua zama za wizi bila kufumbiwa macho zisubiri kiongozi mwingine mjinga ajaye siyo huyu Msukuma mwenzangu
  7. Zeng

    JamiiForums Tanzania Kutoka Mahakamani: Mbunge wa Arusha Godbless Lema apata dhamana

    Maamuzi ya juzi ya mahakama kuu yametengeneza njia. Unyanyasaji so mzuri
  8. Zeng

    JamiiForums Tanzania Polisi wamkamata Gwajima tena. Afanyiwa upekuzi upya na kuachiwa

    Bashite
  9. Zeng

    JamiiForums Tanzania ARUSHA: Tingatinga lafukua mamilioni yaliyokuwa yamehifadhiwa ardhini

    Duh, haya makubwa Sasa......
  10. Zeng

    JamiiForums Tanzania Iramba Tuna Bahati Mbaya ya Wabunge

    Uyasemayo ni haki, hao wanaopata uwaziri wanajisahau sana na kubakia wakishughulika na shida za kitaifa zaidi kuliko matatizo ya wananchi wao majimboni waliowapigia kura. Hapo hakuna namna ni.kusubiri muda uende tu halafu mnampa haki yake. Rasimu ya katiba ya Warioba iliyataja mambo.hayavna...
  11. Zeng

    JamiiForums Tanzania Sukari toka Nje: Mary Nagu ahojiwa na PCCB kwa kwenda kinyume na Magufuli

    Wabunge wanajaribu kutafuta mbinu zao za ajabu ajabu walizozizoea kujipatia vipato vya ziada. Walishajaribu opportunity, na kwann wamwombe rais abadili maamuzi aliyokwisha taja yasifanywe? Kuna nini? Au ndo yale yale ya wafanyabiashara kurob wabunge washinikize serikali kuwapa neema? Washindwe...
  12. Zeng

    JamiiForums Tanzania PENDEKEZO: Rais Magufuli, anzisha Vijiji vya Ujasiriamali

    Haya mawazo yanajenga na nadhani umekamilisha msemo usemao hakuna haja ya kugombea fito ili hali twajengaa nyumba moja.
  13. Zeng

    JamiiForums Tanzania Shirika kubwa NSSF, amekosekana mtu wa kumpromote ili awe Mkurugenzi hadi atoke nje?

    Upo uwezekano mkubwa ikawa unachoongea kikawa sahii lkn nadhani pia upande wa pili kua shida unayotakiwa kuifahamu japo kidogo tu. NSSF ni shirika ambalo nadhani kwa lugha ndogo tu ni kwamba linazama. Sura yake kwa nje haiko sawa na ndani ilivyo. Limekwisha, limetafunwa vya kutosha na...
  14. Zeng

    JamiiForums Tanzania Ukuu wa Mikoa: Rais Magufuli alishauriwa vibaya juu ya Elaston Mbwilo

    Who is perfect 100%? Acha wengine wafanyike Kwa kazi. Akapumzike salama....
Back
Top Bottom