Nitasema
Nitamwambia Mheshimiwa Rais ! Ulivyoanza ndo tunakuombea umalize 2030 kwa mwendo huo huo. Inawezekana kuongoza bila kuwa mkorofi na kurekebisha bila kutoka mapovu.
Jamani msilazimishe mawazo ya Rais aliyetutoka yafuatwe na Rais wetu Samia Suluhu. WaTanzania tutamsupport Rais huyu hata kama ni sisi upinzani au wana CCM ili nchi yetu ipate maendeleo ya wananchi wote!! wakulima, makuli, walimu, bodaboda, wafanya biashara kubwa na ndogo, wafanya kazi...
Habari wadau. Nimekua nikifuatilia mijadala mingi humu ndani. Tukiwa kama wadau katika kuleta chachu ya maendeleo ya Tanzania yetu, nimeshindwa kukubali kwanini tunashindwa kuelewa wapinzani wapo kuikosoa serikali iliyopo madarakani na watakuwepo milele. Tanzania haina tofauti na nchi yoyote...
Unasomea sheria ili ulalamike kama ambao hatujasoma. Ulikuwa na miaka 8 ya kuhakikisha suala linaenda mahakamani ukakaa kulalama. Mahakama ni waTanzania sasa kaa kimya kidogo tukuamulie.
Tatu, msisahau kitu kimoja cha muhimu kabisa. Kwamba, mimi ni Mbunge kutokea CCM na kama walivyo wengi wenzangu hatukusaini kwa sababu hatuwezi kuiangusha serikali ya CCM kwa hoja inayoletwa na Mbunge wa Kambi ya Upinzani!
'Kaka tulifikiri kuwachagua wabunge Vijana mngesaidia kuleta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.