Recent content by Zelensk

  1. Zelensk

    HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Asante chief, na kwamfano baraza la michezo hii no taasisi nayo au...
  2. Zelensk

    HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Chief hapa nakuwa confused, ila naomba mifano japo mitano ua taasisi
  3. Zelensk

    PSRS interview questions (written, pract & oral)

    Na vipi kuitumia notebook?
  4. Zelensk

    PSRS interview questions (written, pract & oral)

    Samahani wana JF, hivi ni busara kukaa wakati wa oral interview? Na je kama ni busara kukaa, unakura wamekuwejea notebook na pen hapo mezani, je ni busara kuitumia ile notebook na pen?
  5. Zelensk

    PSRS interview questions (written, pract & oral)

    Oral uliulizwa maswali gan?
  6. Zelensk

    PSRS interview questions (written, pract & oral)

    Eee, za transfer. Japo sijui itachukua muda gani kufanya analysis na kuita watu kwenye intavyuu
  7. Zelensk

    PSRS interview questions (written, pract & oral)

    Hapana, nauliza tu tips zake ila ni NECTA
  8. Zelensk

    PSRS interview questions (written, pract & oral)

    Jibu la hapa tafadhari 😭😭
  9. Zelensk

    Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Na vipi tofauti ya hzo LED tv, Smart tv, na android tv, but nimeelewa tofauti ya android na smart TV. Lakini kuhusu LED bado
Back
Top Bottom