Recent content by zegekali

  1. Z

    JamiiForums Tanzania Tibaijuka:'' mradi wa Nyumba za NSSF Dege Eco Village Kigamboni ni wa Wizara yangu''

    Huyu mama hana nyimbo kabisa...... Kajaa mizengwe tuu.Sijui kwa nini hafutwi kazi
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Tuhuma nzito kwa Abbas Mtemvu mbunge wa Temeke-CCM

    Hii saga ya kudanganya umri ichunguzwe bila kuhusisha hizo millioni zinazotajwa. Miss Tanzania na siasa za Tanzania vitu tofauti. Changieni mada kwa tija siyo ushabiki tu.
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Tuhuma nzito kwa Abbas Mtemvu mbunge wa Temeke-CCM

    Kweli kabisa. Walete uthibitisho wa wizi wa wa hizo millions. Kudanganya umri na wizi vinahusianajee?
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Worst architectural building along Ali Hassan Mwinyi Road!

    Shukrani kwa kuibua mjadala huu. Hiyo kazi kwa kweli ni 'architectural mediocracy of highest level'. Ila mkuu. Tusahishe kidogo. Architects siyo Wachora majengo. Ni wabunifu au wasanifu majengo. Uchoraji ni 'draughting'. Ni process katika usanifu. Michoro au 'drawings' ni media tu ambayo...
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Worst architectural building along Ali Hassan Mwinyi Road!

    Nadhani tatizo kubwa lipo katika ubadilishaji holela wa matumizi ya viwanja. Pale palikuwa ni makazi hivyo walipotaka kubadili lazima waliwasilisha mawazo yao sehemu husika wakapata baraka. Sasa udhaifu wa uelewa na ukosefu wa taswira ya jumla ya mtaa ule unatakiwa uweje vimepelekea kuwepo hiyo...
Back
Top Bottom