Huyu ndo The Heir, mrithi wake, Arkardy Abramovich, mtoto wake wa pili kuzaliwa, hapo itakuwa tayari keshafundishwa na kamaster ushawish na umafia wa babake.
Ana sura ya kipole kama kondoo ukikutana nae unaweza fikiri unaweza mpiga makofi ukamkanyaga ukamtemea mate halafu ukatoka mzima kumbe unakuwa umejidanganya na inakuwa ulichezea moto wa Volcano.
Kibaya zaidi ni pale wazazi wanapotenda kama vile wanakudai kwa kuwa walikuzaa. Au utaskia watu wanakwambia " babako na mamako ndo wamekupa uhai unatakiwa uwashukuru" hii kauli ni overrated ukizingatia kuwa hukuwaomba wakuzae na kiufupi ni kuwa wao ndo walikutaka ila we hukuwataka at first...
Kujiua ni matatizo ya akili wao hawana matatizo ya akili.
Halafu ukijiua unakufa mwili roho inabaki na wao ni roho hawana mwili wa kuua, pia hawana uwezo wa kujiangamiza roho zao wenyewe au roho za mwingine mwenye uwezo wa kuangamiza roho ni messiah pekee.
Hili ni wazo zuri la kupiga picha[emoji16] hivi kweli ukipiga picha si inawezekana ili siku ukimuona ujue ndo huyo. Au ukiwa unafanya nyuma yako unaweka video camera anarekodiwa[emoji16] Hii inawezekana bwana Rakims?
Na pia katika maisha yako hautakiwi kuruhusu kila mtu akukosoe ni mwanzo wakudharauliwa na kuchukuliwa poa hata na mfanyakazi wako wa ndani, weka limit ya watu ambao wanatakiwa wakukosoe na si kila mmoja akukosoe na kukubaliana na kila anachokitaka
Hatufi sababu muda umefika mwisho ila tunakufa sababu ya maisha tuliyowekewa ndo yamefikia mwisho kwa maana kuwa muda hauna mwisho na hivyo ndo maana wote hatufi katika umri sawa ila kila mtu hufa katika ukomo wake na ndo maana mwingine hufa na miaka kumi mwingine hufa akiwa na miaka ishirini na...
Navyoelewa hii ukimwambia mtu 'masala kulangwa' huwa ni kama kumtusi mtu au kumkejeli kuwa hana akili yaani 'akili za kufundishwa' hana zake anategemea kufundishwa na mwingine
Ellen ni nani? Ellen alikuwa muumini kama muumini mwingine na binadamu kama binadamu mwingine asiye mkamilifu. Wasabato hawamwabudu ellen wanamwabudu Mungu, mwongozo wao ni biblia na wala Ellen hakuandika biblia. Kila kitu wanachosomaga wasabato wanatoa kwenye biblia.
Halafu pointi ya kunoti ni...
Ilikuwaje?! Siku hiyo hiyo aliyotumbukia akatoka akakuta wanakijiji wamebadilika?
😂😂 aliugua amnesia? Au alitumbukia alipotoka akatoka yule alieishi mara ya kwanza? Au alitumbukia akafa then akarudi katika uhai tena kwa mara ya pili? Siku hiyo hiyo au miaka ilikuwa imepita?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.