Recent content by Zee la Arsenal1

  1. Z

    Kaka kimbia kabla mambo hayajawa mengi, jaribu bahati sehemu nyingine

    Sasa una mwanamke hakupi ushauri wwte hata akiona unaenda ndivyo sivyo...wanini uyo....!!?
  2. Z

    Kaka kimbia kabla mambo hayajawa mengi, jaribu bahati sehemu nyingine

    Una mpenzi wako na una matarijio awe mke wako wa ndoa, kazi unayoifanya anaijua vizuri tu kuwa kipato chake ni kidogo. ''Mnatoka out mara ya kwanza unatumia pesa nyingi kweli, mnakula , mnakunywa mna enjoy kweli. Mwenzio hata haulizi pesa umepata wapi ndo kwanza anaagiza bucket. ''Mara ya pili...
  3. Z

    Mwanamke anachokifuata kwenye mahusiano ni pesa (uchumi) na si mapenzi

    kwa maaana iyo mm mwenye kipato kidogo nimtimue mapema tu ma mtu kabla hajanichoka maana raman zangu sizielew kabisa....au vp muungwana...?
  4. Z

    Duniani asilimia kubwa ya wanavyuo wana part-time jobs inayowafanya kuepuka kuwa tegemezi

    Mifumo ya uendehaji wa elimu ya juu sometimes inachangia vijana wengi kuwa tegemez...
  5. Z

    "Wasiwasi juu ujenzi wa vituo vya mafuta kwa sasa

    sheli kama vibanda vya tigopesa......
  6. Z

    Duniani asilimia kubwa ya wanavyuo wana part-time jobs inayowafanya kuepuka kuwa tegemezi

    "Uko duniani asilimia kubwa ya wanavyuo wana part-time jobs inayowafanya kuepuka kuwa tegemezi pindi wanapograduate. Na hii inatokana na mifumo mizuri ya uendeshaji inayozingatia upatikanaji wa mda kwa mwanachuo kujitafuta nje ya ratiba ya masomo yake. "Huku kwetu, nmekutana na kijana mmoja...
  7. Z

    "Wasiwasi juu ujenzi wa vituo vya mafuta kwa sasa

    "Juzi kwenye daladala za hapa mjini, katika story za abiria wakawa wanahoji juu ya ongezeko kubwa la ujenzi wa sheri. Hoja yao kubwa ikiwa ni kweli biashara ya sheli inalipa kiasi hicho cha kurudisha mamilion ya pesa yaliyotumika kuhisimamisha kwa mda mfupi ..!!? "Mwingine akahoji kua uenda...
Back
Top Bottom