Recent content by Zecky

  1. Zecky

    Update: Nina Soko la nje la Sunflower Oil na Coconut

    Mkuu eleza vizuri unataka mafuta au alizeti kama ni mafuta tunaweza kufanya biashara.unataka tani ngapi kwa mwaka na unanunua shillingi ngapi?
  2. Zecky

    Natafuta Suzuki carry

    Iwe chini ya mil5 4wd Mwenye nayo anitumie picha whatsap 0759292980
  3. Zecky

    Msaada: Jinsi ya kusafirisha samaki bila kuharibika

    Sio lazima uwe na kibali kama una mtu yupo mwanza then anakutumia mzigo we unasubiri kupokea mzigo wako tu
  4. Zecky

    Msaada: Jinsi ya kusafirisha samaki bila kuharibika

    Kaka mimi nipo mwanza nafanya biashara ya samaki wabichi na kila siku tunasafirisha samaki kwenda sehem mbalimbali ikiwemo Arusha na wanafika wakiwa vizuri pia nina mpango wa kufungua bucha moshi ntakua nauza jumla na rejareja unaweza kuwa mteja wangu,karibu sana
  5. Zecky

    Biashara gani naweza kufanya Mwanza?

    Nina idea ya kufungua restaurant hapa mwanza na kama iki fail nina idea nyingine ya vitafunwa kama upo serious tutafutane tuongeze nguvu tufanye kazi
Back
Top Bottom