Habarini wana jamiiforums,
Ninaomba mwenye mitihani ya pre-mock na mock ya Basic Mathematics Kidato cha nne 2024 ya Wilaya na Mikoa mbalimbali atume humu.
ASANTE
Habari wadau.
Tafadhari ninaomba ushauri.
Nahitaji kufanya biashara ya viatu. Nko mwanza, tafadhari kama kuna mzoefu wa biashara hili anisaidie mawazo kwa hili, hata mahali vinakopatikana kwa bei nafuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.