Napambana kulipa, kama juzi nmewalipa million Moja. Lakini wamecalculate riba imenirudisha kwenye ileile million Tano kama sijalipa million.
Am confused nachomokaje. Dhamana ni Mali ya mtu mwingine.
Hivi wewe ulikuwepo Tanzania kweli? Hivi unaweza kuyaita Yale maandamano. Watu walikuwa wanakatwa vidole wakionekana wamepiga kura. Sheli zilichomwa moto Kila kona. Mali ziliporwa... Subiri December 9 mtakiona Cha moto
Kwamba unasema serikali ilishindwa kuwakabili wakati mko mnalilia hapa kwamba watu walikufa. Na rais tunaye tunatamba nae. Kimsingi msije mkaanza kulialia mara ICC. Vita ni vita mura
Yale siyo maandamano ya kudai haki. Yale yalikuwa mapinduzi.. Sasa December 9 tutajaza wanajeshi Kila kona. Mjiandae kuwapokea. Uzuri tumewafungua macho nao wamejua nia yenu ovu. Dawa yenu nyie ni chuma hata mkia laki Moja tupo tayari kuwakabili
Kama ulivyopanga na sisi tunapanga kukushugulikia kabla hujachoma nyumba yangu. Kimsingi usije kuanza kulialia mara ICC. we si unataka vita na vyombo vya dola. Karibu tunakusubiri
Wewe ni mtu mjinga mmoja ambae huna stara kwenye lugha yako. Sina Cha kukujibu. Lakini lengo lenu Tanzania IINGIE kwenye MACHAFUKO. Tumewashtukia tutapambana na nyinyi. Nakuhakikishia December 9 mkifanya vurugu ni mwendo wa chuma.
Mkuu watu hawaandamani kutumia ujumbe. Sote tumeshuhudia oct29 ilikuwa ni vurugu. Walichoma biashara za watu. Walichoma nyumba za watu. Pia nia Yao ni kuipindua serikali. Sasa wakubali kupambana na vyombo vya dola. Wakubali kuwa kuipindua serikali ni uaini ambayo mwisho wake ni kunyongwa au kufa.
Ukifatilia waliotekwa wote walikuwa na nia mbovu ya kutaka kuingiza nchi kwenye MACHAFUKO. Nchi zote hao wanamalizwa kimyakimya. Muangalie sativa ni very TOXIC.. kazi yake kubet halafu anataka vijana waache kupambania maisha Yao waingie barabarani kuipindua serikali
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.