Recent content by ze dukes

  1. Z

    JamiiForums Tanzania Chuo ulichosoma kina athari katika kupata ajira?

    Usiogope kama TCU washakipitisha it means kiko known kiserikali so ajira kama kawaaa kk....
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada Tatizo la Tablet kuchagua Line

    Jamani msaada tablet yangu inabagua lain , yaani inasoma Lain ya tigo tu ukiweka lain nyingine haisomi Masada wadau....
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Mgomo waingia siku ya 3 Chuo Kikuu St. Joseph

    Dah......! Poleni sana wana St.Joseph, lakini mungu yupo kwa huo uhuni waliowafanyia hao wahindi, ila mkae mkijua ridhiki la mtu halizuiriwi na mwanadamu isipokua tu anaweza akakucheleweshea, so iz better mkaaply vyuo vingine kuliko kukaa apo na kupoteza muda wenu hao jamaa wapo kibiashara zaidi...
Back
Top Bottom