Recent content by ZDG

  1. Z

    JamiiForums Wasiwasi (Worry)

    Habari za muda huu wapendwa marafiki hapa jukwaani. Kuna jambo ambalo kila mmoja analo ila nadhani nitumie fursa hii kuliweka bayana tusaidiane. Jambo lenyewe ni uwepo wa wasiwasi ndani ya akili ya binadamu au ndani ya moyo (popote unapokuwa sawa tu). Ukiangalia kwa uzoefu, wasiwasi ni kengele...
  2. Z

    JamiiForums Kwanini sisi wa-Afrika hatuwezi kufanya ugunduzi hasa wa ki-teknolojia??

    Sio kwamba tunabaguliaa kwa sababu tunacopy mambo yao zaidi kuliko yetu hapa Afrika? Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Z

    JamiiForums Kwanini sisi wa-Afrika hatuwezi kufanya ugunduzi hasa wa ki-teknolojia??

    Sasa mkuu, taaluma yenyewe tunatumia lugha ngeni kiasi kwamba wanafunzi wanapambana kufahamu maana ya maneno na kukariri badala ya kujua nini kinachompasa kujua,,, halafu tunakomaa sana na mambo ambayo wenzetu walishayafanyia kazi na wameyapita. Kingine, tunasoma nadharia sana kuhusu mazingira...
  4. Z

    JamiiForums Kwanini sisi wa-Afrika hatuwezi kufanya ugunduzi hasa wa ki-teknolojia??

    Naweza kukubaliana na mtazamo aako mkuu. Hatuna dira kama taifa so hatujui tunataka nini kesho. Watu wenye vipaji na wanafunzi bora mashuleni ni vyuoni tunaishia kuwapongeza tu hakuna kinachoendelea baada ya hapo..... Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Z

    JamiiForums Kwanini sisi wa-Afrika hatuwezi kufanya ugunduzi hasa wa ki-teknolojia??

    Hatuna utaratibu na dhamira ya kuendeleza vipaji..... Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Z

    JamiiForums Kwanini sisi wa-Afrika hatuwezi kufanya ugunduzi hasa wa ki-teknolojia??

    Mimi simkumbuki mkuu, tujuze!! Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Z

    JamiiForums Kwanini sisi wa-Afrika hatuwezi kufanya ugunduzi hasa wa ki-teknolojia??

    Haahahaha....hatareee Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Z

    JamiiForums Kwanini sisi wa-Afrika hatuwezi kufanya ugunduzi hasa wa ki-teknolojia??

    Labda vyakula tunavyokula kama ugali navyo vinalaza ubongo wetu Dreka? Nakubaliana na wewe labda,,,we don't have a capacity to think properly. Duuuu!!! Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Z

    JamiiForums Kwanini sisi wa-Afrika hatuwezi kufanya ugunduzi hasa wa ki-teknolojia??

    Una maanisha mindset yetu haipo ktk mkao wa kugundua vitu vipya na badala yake tuna relax na tulivyofundishwa tu? Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Z

    JamiiForums Kwanini sisi wa-Afrika hatuwezi kufanya ugunduzi hasa wa ki-teknolojia??

    Hapa umetema madini mkuu. Mambo yaliyopitwa na wakati sisi tumeyaganda sana na tunakariri majibu yake tufaulu mitihani. Nadhani hayo yaliyopitwa tungekuwa tunayapitia roughly halafu tunasonga kwenye mambo mapya....hilo la mazingira yetu ya kiafrika ni zaidi sana.... Sent using Jamii Forums...
  11. Z

    JamiiForums Kwanini sisi wa-Afrika hatuwezi kufanya ugunduzi hasa wa ki-teknolojia??

    Vipi kuhusu ubora wa hiyo elimu ya Science ambayo unasema wawepo wanafunzi wengi??...je elimu yetu inatupa fursa ya kuwa wadadisi na wabunifu?....au madhara ya uwezo wa ubongo wa mtoto wa kiafrika unaanzia tangu kwenye malezi (parenting)? Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Z

    JamiiForums Kwanini sisi wa-Afrika hatuwezi kufanya ugunduzi hasa wa ki-teknolojia??

    Hahahaha.....viroba+ugoro+bapa=kifo cha ghafla. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Z

    JamiiForums Kwanini sisi wa-Afrika hatuwezi kufanya ugunduzi hasa wa ki-teknolojia??

    Nakubaliana na ww mkuu.....tena kwa kutumia lugha za wakoloni ndio kabisaaa tunapata shida kuanzia form one, ilimradi ufaulu basi. Wenzetu wachina na warusi waliamua kujifunza kwa lugha zao halafu wanasoma lugha zingine kama short coursr,,, sisi huku mtu msomi ni yule anayejua kuongea Englisha...
  14. Z

    JamiiForums Kwanini sisi wa-Afrika hatuwezi kufanya ugunduzi hasa wa ki-teknolojia??

    Mimi pia najishangaa kwanini siwezi kubuni na kugundua vitu kama wanavyofanya wenzetu nje ya Afrika. Nikaona niwaulize wadau tunatatizwa na nini hasa maana sielewi nini hasa tatizo Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Z

    JamiiForums Kwanini sisi wa-Afrika hatuwezi kufanya ugunduzi hasa wa ki-teknolojia??

    Kwahiyo Elimu yetu inatukaririsha tu badala ya kutuwekea maarifa kichwani? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom