Habari za muda huu wapendwa marafiki hapa jukwaani. Kuna jambo ambalo kila mmoja analo ila nadhani nitumie fursa hii kuliweka bayana tusaidiane. Jambo lenyewe ni uwepo wa wasiwasi ndani ya akili ya binadamu au ndani ya moyo (popote unapokuwa sawa tu).
Ukiangalia kwa uzoefu, wasiwasi ni kengele inayomuonyesha mtu kwamba kwa mazingira na dalili hizi, kuna hatari inakuja mbele au kuna jambo baya laja.
Watu wengi hutumia wasiwasi kujiandaa na kujiweka sawa kukabiliana na hali inayotazamiwa.
Ila wengi wetu tumewahinkusikia kwamba wasiwasi ni mbaya sana. Ukiwa na wasiwasi, hutaweza kufanya jambo lolote kwa ufanisi. Wengine husema "you worry yo die!!".
Kwakuwa wasiwasi upo kwenye maisha yetu ya kila siku na mimi mara nyingi nikifikiria maisha yangu ya baadaye, nikikumbuka madeni niloyonayo, nikiangalia malengo yangu mbeleni, nikitazama mambo kadha wa kadha yanayonizunguka napatwa na wasiwasi mara kwa mara.
Hivi jamani, Dawa hasa ya Wasiwasi ni nini?
Wengi wamejaribu kulewa, kujipa furaha za muda mfupi, kuangalia movie nzuri, kuchart ila ukimaliza unajikuta bado wasiwasi wako upo pale pale. Dawa ya wasiwasi ni nini? Nawezaje kuepuka hali ya wasiwasi isinipe madhara ktk moyo wangu???
Natanguliza Shukrani!!