Recent content by Zatara

  1. Zatara

    Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

    Taifa lipo kwenye sintofahamu (Kwa mujibu wa mtoa mada), Mtu wa system anayejinasibu yupo Jikoni anatamani kulia!? Seriously !? Hisia (Emotion) na Mahaba zimetawala zaidi ya Profession.. Ndio, watu ambao kina Evarist Chahali wametuachia kwenye system hao.. Ndio level ya juu kabisa spinning na...
  2. Zatara

    Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

    Ushauri Mzuri sana, maana naona kadri anavyoanzisha nyuzi anazidi kupanua loop hole ya kuongeza sintofahamu... Kwani ni lazima kuanzisha nyuzi... Kukaa kimya wakati mwengine ni busara... Il kama unakuja Public njoo na kitu kinachofikirisha zaidi. Kuwa kwenye system haimanishi tusitumie weledi na...
  3. Zatara

    Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

    Najiuliza, hivi kulikua na umuhimu wa kuandika hii story!? Spinning and speculation gani imekusudiwa!? Je mmejaribu kupima Faida dhidi ya madhara ya hili andiko na sintofahamu zake!? Nimetumia neno Mumejaribu (Kwa sababu haupo peko yako, ni maamuzi ya group ambayo wewe umepewa jukumu la kuposti)
  4. Zatara

    Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

    Ana mualiko wa German!!! Itaendelea kwenye part 2... Haya bwana watu na kazi zenu nyinyi!!
  5. Zatara

    Mzee Warioba: Ukiona kuna mabadiliko ya Katiba Mpya kuondoa ukomo wa uongozi,ujue kiongozi wa juu ana uchu wa kusalia madarakani

    Mkuu wewe kiboko, yani anajaribu unamfikiria mtu mpaka unapita kilicho ndani ya ubongo wake.... Ni vyema, ila asiache kujifikiria na wewe, usifikiri kwa niaba tu!!
  6. Zatara

    Makonda haguswi, ni mtoto wa baba. Ajali ya ndege ya Auric iweje wanajeshi wafanye uchunguzi wakati ni ndege ya kiraia? Tunaficha Ebola?

    Heshima kwako mkuu. Tatizo lako wewe ni kwamba hukutaka kuunga mkomo juhudi tokea mwanzo. Ulianza kwa kujikita kwenye maadili ya taratibu ya kazi yako. Mpaka pale tulipojua Mayalla maana yake ni njaa ndio ukaanza kubadilika ilikua too late. Ila kwa sasa ulivyokua mpole, jinsi ambavyo zile nondo...
  7. Zatara

    Hii kali Ndailagije kaita timu ya taifa yenye mshambuliaji mmoja tu!!!

    Mkuu, swali linabaki palepale. Je ulitaka aitwe nani!? Kumbuka hii ni mashindano ya wachezaji wa ndani!! .. Kama nchi Hatuzalishi wafungaji... Je kwenye league yetu, ulitaka mshambualiji gani amnaye anafanya vyema na hakuitwa!?
  8. Zatara

    Hii kali Ndailagije kaita timu ya taifa yenye mshambuliaji mmoja tu!!!

    Ulitaka aitwe Moringa au Sydney!?
  9. Zatara

    Italian TV station bans pundit Luciano Passirani for racist Romelu Lukaku comment

    Alimaanisha nini sasa!? Amgezungumza alichomaanisha... Kuoa sio sababu, kwa mfano mimi naweza oa kabila fulani, lakini kutokana na tabia za ndugu wa mke, naweza kuchukizwa na tabia zao, na siku inaweza kunitoka mdomomi kua ... Daah jamaa anatabia kama Kabila fulani!! Huo tayari ni ubaguzi !
  10. Zatara

    Ameshafanikiwa ameshakuwa waziri, sitampa kura yangu 2020

    "Ndege John" huyuhuyu wa JF !?
  11. Zatara

    Yanga sasa imechokwa kwa kuombaomba.

    Mbona sioni mahusiano na alichoandika na hii comment yako
  12. Zatara

    Yanga sasa imechokwa kwa kuombaomba.

    Nafikiri unatania... Unazungumzia Yanga au Barcelona mkuu. Hivi kwenye ule ufunguzi waliuza Jezi ngapi? Na kila jezi ni bei gani? Na walipata kiasi gani?. Yanga na Simba hao hao washabiki wao wanaolalamika kiingilio cha Elfu 5 kwenye mechi..Washabiki wangapi wana ambao wanakipato cha laki moja...
  13. Zatara

    Simba SC yamtambulisha rasmi Afisa Mtendaji Mkuu (CEO) mpya, Senzo Mazingiza kutoka Afrika Kusini

    Nimekuelewa vyema. Sasa hao walimuajiri huyo msouth si ndio sehemu ndogo ya waliomuajiri Rais! Au nachanganya madesa!?
Back
Top Bottom