Recent content by Zarumenda

  1. Z

    JamiiForums Tanzania Nataka kuanza safari yangu ya kuwa Data analyst unanishauri nini katika safari yangu?

    Kwn kusoma hii Data analyst inahitaji uwe na background ya kitu gan au hata computer application pekee unaweza?
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Nahao barcelona kipimo chao ninani au wao hawana kipimo?
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Sababu gani hupelekea watu kujenga na kuishi juu ya milima katika jiji la Mwanza? Maisha ya makazi huko milimani huwa yakoje?

    Serikali ingevunja nyumba zote zakichovu zilizoko huko juu alaf zijengwe apartment , mahotel, magorofa, na miundombinu yamaana nadhani kungekuwa na mandhari tamu sana yakitalii na yangeupendezesha mji
  4. Z

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Mlandizi : Kiwanja Cha Ukubwa wa Hekari 2 na Nyumba ya Wafanyakazi inauzwa

    Km 20 hiyo bado itakuwa inaitwa Mlandiz kweli?
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Maana halisi ya kucheza kitimu ndio hawa Chelsea sasa hakuna abiria uwanjani
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Mbappe, Vin niwakutafutiwa watu wamaana hasa ili wawe wanatokea benchi maana nao hawachezi kitimu kabisa ubrazamen mwingi
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Hawezi kukaba huyo nae
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Imeoza kuanzia nyuma kati mpaka mbele
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Hii timu tukijidanganya tumemaliza usajili bas tutakuja kulia na miti
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Huk kwenye cwc vp mbona hamuonekan?
  11. Z

    JamiiForums Tanzania Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Haka kastriker ka Fluminense Arias mbona kama kanatufaa pale mbele
  12. Z

    JamiiForums Tanzania Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Acheni kulialia
  13. Z

    JamiiForums Tanzania Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Tunavuna tu kwenye vitimu vidogo vidogo kama hivyo
  14. Z

    JamiiForums Tanzania Ratiba ya sherehe za ubingwa wa RS Berkane kombe la shirikisho

    Inamaana nyinyi mligoma kupitia evolution?
  15. Z

    JamiiForums Tanzania Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Mbona nimeona kaagwa wakati anafanyiwa sub
Back
Top Bottom